• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji Mbinga

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

Jengo la Utawala la Halmashauri ya Mji wa Mbinga ni Mfano wa Kuigwa

Tarehe ya kuwekwa: December 18th, 2019

Hayo yamezungumzwa na Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI Mhe. Seleman Said Jaffo (Mb) baada ya kukagua na kuridhishwa na ujenzi wa jengo la Utawala la Halmashauri ya Mji wa Mbinga. Katika ziara yake ya siku moja Mjini hapa ,Mhe. Jaffo amesema kuwa Jengo hilo ni nzuri na ni mfano wa kuigwa kwani fedha zilitolewa na Serikali zimetumika Vizuri. Aidha Mhe. Jafo ametoa agizo kwa Wafanyakazi wa Halmashauri ya Mji kuhakikisha kuwa Ifikapo tarehe 30/01/2020 wote wawe wameingia katika jengo hilo kwani anaamini kuwa kazi  za ukamilishaji wa jengo hilo zitaisha kwa wakati ikiwa mkataba unaonyesha mwisho ni tarehe 30/12/2019.

“…lakini hapa naomba niseme kazi hapa ni nzuri na mmepata Jengo nzuri sana na Halmashauri yenu itakuwa safi…na wengine waige mfano huu mnzuri, kwamba mnakuwa mnapewa fedha lakini  mnazitumia vizuri, sio mnapewa fedha mnaleta ubabaishaji…” Alisema Mhe. Jaffo

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAFUNZO YA MFUMO WA MANUNUZI WA UMMA NA MATUMIZI YA MODULI MPYA KWENYE MFUMO WA NeST KWA MAKUNDI YA VIJANA, WANAWAKE, WAZEE, WATU WENYE ULEMAVU NA WAZABUNI

    January 15, 2026
  • NAIBU WAZIRI KWAGILWA ARIDHISHWA NA UJENZI WA BARABARA YA UTIRI, MBINGA MJI

    January 11, 2026
  • Kambi ya madaktari Bingwa wa Dkt Samia Suluhu Hassan yaendelea kutoa Huduma Halmashauri ya Mji Mbinga

    September 24, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • Tazama zote

Video

MKUU WA WILAYA YA MBINGA AHITIMISHA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Halmashauri ya Mji Mbinga

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki