• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

KATA YA LUWAITA MBINGA MJI YAPOKEA MRADI WA BARABARA KUTOKA AGRI- CONNECT LUWAITA ROAD KM 15.7

Tarehe ya kuwekwa: May 20th, 2021

 

Wakitoa taarifa katika kikao cha robo ya tatu, ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo, mbele ya mwenyekiti wa baraza hilo Ndg Kelvin Mapunda, madiwani hao wamelieleza baraza hilo kuwa, kumekua na chanagamoto mbalimbali katika utekelezaji wa miradi maji ,barabara na umeme katika kata tofauti mjini humo.

Akijibu hoja ya changamoto ya maji katika kata ya mpepai mwakilishi  wa Ruwasa amesemakua tayari wataalam wameshafika eneo la mradi na matofari yamepelekwa eneo husika tayari kuanza ujenzi wa  mradi huo. Atahivyo mwenyekiti wa baraza hilo ameliwekea mkazo changamoto hiyo ya  maji kua  madiwani washirikiane na wataalamu kutoka Ruwasa ilikusaidia upatikanaji wa maji katika kata hizo.

Kwaupande wake Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mh Cosmas Nshenye ameongeza kuwa swala la maji ni moja kati ya changamoto ambazo pia zimekuwa zikiripotiwa katika ofisi yake, hususani katika usomaji mita. Atahivyo Mkuu huyo wa wilaya ametoa maelekezo kwa wataalamu katika balaza hilo kuwa, kuwe na kitabu cha kumbukumbu ambacho kitakuwa kikiwekwa saini na mteja mara baada ya kusoma mita  katika eneo husika ili kuepusha malalamiko yanayo jitokeza katika usomji wa mita za mji.                                                                                                                                                            

Kwaupande mwingine Mkuu  huyo wa wilaya amempongeza Diwani wa kata ya Luwaita, Ndg Laxford B. Ndimbo  na wananchi wa katahiyo kupokea mradi wa ujenzi wa barabara ya urefu wa  kilometa 15 ambapo katika mradi huo wananchi wa kata hiyo wamekubali kutoa maeneo yao pasipo kufidiwa ili kuarakisha maendeleo katika kata hiyo, kwa kuwa barabara hiyo imelenga  kuwarahisishia wakulima ususani katika usafirishaji  wa zao la kahawa.

Akitoa taarifa ya utambulisho  wa mradi huo Meneja wa TARURA Mbinga mji Eng Ismail Mafita amesema kuwa Serikali kupitia Wizara ya Kilimo TAMISEMI TARURA kushirikiana na wadau wa maendeleo EU itasadia kuboresha miundombinu ya barabara katika maeneo ya uzalishaji zao la kahawa kupitia mradi wa Agri-Connect. Awali katika mchakato huo ni Halmashauri mbili tu (Nyasa na Mbinga Mji ) katika Mkoa wa Ruvuma, ziliingia katika mchakato huo na Luwaita kuchaguliwa kuboresha miundombinu katika maeneo ya uzalishaji zao la kahawa.  

Katika kujibu changamoto ya gharama za kuweka umeme mwakilishi kutoka Tanesco Mbinga mji amefafanua kuwa kwa sasa gharama ni shilingi 27,000  tofauti na kiwango kilichokuwa kinatozwa awali cha 177,000 ambapo wateja awali waliolipia kiasi hicho hakito rejeshwa bali wataendelea kuwapa huduma.   

Na Makangury

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJIBU YA USAILI WA UDEREVA MAFUNZO KWA VITENDO June 20, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MBINGA MJI APATIWA TUZO

    June 20, 2025
  • MKUTANO WA JUKWAA LA MWAKA LA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WILAYA YA MBINGA

    June 20, 2025
  • ‎MBINGA MJI YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 19, 2025
  • ‎JAMII YAHIMIZWA KULINDA HAKI ZA WATOTO

    June 16, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.