• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji Mbinga

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

Wafanyabiashara Wachangamkia fursa za Uwekezaji Mbinga

Tarehe ya kuwekwa: September 12th, 2018

Akiongoza kikao cha Baraza la Wafanyabiashara Wilaya ya Mbinga Mwenyekiti wa kikao hicho Mh. Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Ndg. Cosmas Nshenye aliwaeleza wajumbe wa kikao kuwa umefika wakati wa kuchangamkia fursa zilipo ili waweze kuwekeza na kufikia malengo ya Serikali ya awamu ya tano kuwa na Viwanda vya kutosha.

Kikao hicho cha leo kilikuwa ni mwendelezo wa kikao cha awali kilichofanyika tarehe 24/11/2018 ambapo fursa mbalimbali za uwekezaji zilianinshwa kama vile, Uendelezaji wa Kilimo na Umwagiliaji, Mifugo na Uvuvi, Uendelezaji wa Misitu, Viwanda, Mawasiliano na usafirishaji, Utalii n.k

Wakichangia kupitia yatokanayo ya kikao kilichopita, wajumbe wa Kikao hicho wameonyesha wapo tayari kufanya uwekezaji kwenye maeneo yaliyotengwa na waliomba watendaji waharakishe michoro na upimaji wa maeneo hayo ili shughuli za uwekezaji zifanyike kwa wakati.

Katika kikao hicho pia Wafanabiashara kupitia chama chao cha TCCIA (TANZANIA CHAMBER OF COMMERCE, INDUSTRY AND AGRICULTURE) waliweza kuelezea baadhi ya changamoto zao ambazo zinakwamisha au kupunguza kasi ya uwekezaji. Baadhi ya changamoto hizo ni pamoja na Kushuka kwa bei za mazao hadi kufikia 30% hususani zao la Mahindi ukilinganisha na bei ya mwaka 2017 , Kupanda kwa bei za bidhaa za viwandani hasa Pembejeo za kilimo, Kuchelewasha upimaji wa maeneo ya uwekezaji, na changamoto kubwa zaidi ni Kukatika katika kwa umeme jambo ambalo linakwamisha shughuli za uzalishaji  katika viwanda vilivyopo na kukwamisha juhudi za wanaohitaji  kuwekeza kwenye sekta ya  viwanda.

“ kwakweli Ndugu Mwenyekiti tatizo la kukatika kwa umeme hapa Mbinga sasa limekuwa ni kubwa mno kiasi kwamba shughuli nzima ya ukoboaji wa kahawa kukwamishwa na ikumbukwe kwamba kahawa ni zao ambalo likikwamishwa katika hatua fulani ya mchakato wake basi ubora wake hushuka kwa kiasi kikubwa…tunaomba uongozi wa TANESCO uangalie namna ya kutatua tatizo hilo hasa kipindi hiki cha Msimu wa Kahawa…” alisema Mjumbe Ndg. Jonas Mbunda Meneja wa Kiwanda cha Kahawa Mbinga.

Moja ya azimio kubwa la kikao hicho ilikuwa ni kwamba Meneja wa TANESCO ahakikishe ameomba kibali maalumu cha kuhakikisha kuwa umeme wa uhakika unapatikana hasa katika kipindi hiki chote cha msimu.

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI MBINGA MJI APOKEA RIPOTI YA AWALI YA MAFUNZO NA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO

    January 19, 2026
  • PPRA KANDA YA KUSINI YAWAJENGEA UWEZO WATUMISHI MBINGA TC KUHUSU SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA

    January 19, 2026
  • MBINGA YAFUNGUA FURSA MPYA ZA UWEKEZAJI

    January 17, 2026
  • MKUU WA IDARA MAENDELEO YA JAMII AHAMASISHA VIKUNDI KUJISAJILI- MBINGA MJI

    January 15, 2026
  • Tazama zote

Video

MKUU WA WILAYA YA MBINGA AHITIMISHA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Halmashauri ya Mji Mbinga

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki