Halmashauri ya Mji wa Mbinga inapenda kuwatangazia kuwa jumla ya waombaji 341 wa nafasi ya watendaji wa kijiji III, Katibu
Mahsusi III na Udereva II, kwamba wameitwa kuja kufanya Usahili ambao utafanyika katika ukumbi wa Oddo Mwisho, uliopo
katika ofisi za Halmashauri ya Mji wa Mbinga. Taarifa zaidi angalia hapa SHORT LIST.pdf
MBINGA
Sanduku la Barua: P.O.BOX 135
Simu ya Mezani: +225 - 2640664
Mobile: +225 – 2640664
Barua pepe: td@mbingatc.go.tz
Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.