- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
-
Shule
- Shule za Msingi
-
Shule za Sekondari
- Agustivo High School
- Dr. Shein Secondary School
- Makita Secondary School
- Luhuwiko Secondary School
- Mbinga Secondary School
- Mbambi Secondary School
- Mikiga Secondary School
- Mbangamao Secondary School
- Kikolo Secondary School
- Kagugu Secondary School
- Ndela Secondary School
- Ngwilizi Secondary School
- LAMATA Scondary School
- Kindimba Secondary School
- Lusetu Secondary School
- Depaul Mbangamao Secondary School
- Mkwaya Secondary School
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Ndg. Amour Hamad Amour amezindua mradi uliokamilika wa jengo la ofisi ya kata ya Mbambi Mbinga Mjini. Uzinduzi huo umefanyika leo tarehe 6/05/2017. Mwenge wa Uhuru Umepokelewa na Kukimbizwa Mjini Mbinga Leo na Umefanikiwa kukagua na kuzindua mbalimbali ikiwemo ofisi hizi za Kataya Mbambi. Katika kutoa ujumbe, Mhe. Amour H. Amour aliwataka watendaji wote waofisi ya Kata ya Mbambi kufanya kazi vizuri kwa wananchi wao bila kujali dini, kabila wala vyama vayo vya kisiasa. Pia aliongeza kuwa wasifanye kazi kwa misingi ya Rushwa bali wawe waadilifu na wachapazi hodari ili kuunga kauli mbiu ya Mhe. Rais Dk. John Pombe Magufuli "Hapa Kazi Tu"