• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji Mbinga

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

ALIYE KUWA DC MBINGA COSMAS NSHENYE AKABIDHI OFISI.

Tarehe ya kuwekwa: June 30th, 2021

 

ALIYEKUWA DC MBINGA COSMAS NSHENYE AKABIDHI OFISI, 

Aliye kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbinga  Ndg Cosmas Nshenye amekabidhi rasmi Ofisi  kwa Mkuu mpya wa Wilaya ya Mbinga Bi Aziza Ally Mngosongo akitoa shukrani kwa Wakurugenzi na Wenyeviti wa Halmashauri zote mbili, kamati ya ulinzi na usalama, wakuu wa Idara, Maafisa tarafa  watendaji Kata. Kamati ya Siasa ya Wilaya Taasisi mbalimbali Wafanya biashara na Madhehebu ya Dini, Ndg Nshenye amewashukuru kwa ushirikiano mkubwa alioupata kutoka kwao na kuwa omba wanambinga kuendendeleza ushirikiano huo kwa Mkuu mpya wa Wilaya ili Mbinga iendelee kuwa juu kimaendeleo .

Aidha amesema hakumbuki ni wapi aliweza kukwazwa kutoka kwa Wakurugenzi wake bali kuwa sihii kufanya kazi kwa kushirikiana,  kwa kua ushirikiano ndio nguzo ya mafanikio katika Wilaya yao, na kwa namana moja au nyingine wayachukue yale mazuri  mema aliyo yafanya ili kudumisha amani na shikimanao katika Wilaya. “Kila ombi unalo omba huwa linapande mbili, kujibiwa au kutojibiwa hivyo, majibu ya aliekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi yalijibiwa kwa hitaji lake la kuhama katika Wilaya hiyo na Mimi Kuchukua nafasi hiyo baada ya kuhamishiwa Wilaya ya Mbozi” alisema Nshenye.

Ikumbukwe ivi karibuni Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassani alifanya uteuzi mpya na mabadiriko ya Wakuu wa  Wilya katika baadhi ya maeneo ambapo Bi Aziza Ally Mangosongo kuhamishiwa Wilaya ya Mbinga akitokea Newala na Ndg Cosmas Nshenye akihamishiwa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe. Ata hivyo Bi Aziza Mangosongo amemtoa hofu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga ya kwamba wanawake wako juu na wanawake wanaweza na kuhaidi  kushirikiana na kuyaendeleza pale amabapo Nshenye ameishia ili Mbinga isonge mbele   

Kwaupande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Bi Grace Quintine ameshukuru Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Cosmas Nshenye kwa kuashirikiano wake kwa wanambinga na kumwomba Mkuu huyo wa Wilaya kukaribia tena na tena kwa kwakua kwa sasa hapa Mbinga  ni nyumbani, na kuhaidi kumpa ushirkiano Bi Aziza Mangosongo Mkuu mpya  wa Wilaya ya Mbinga . Nae  Mwenyekiti Kamati ya Siasa Ccm Wilaya  Ndg Beda Hyera amesema ana imani na Bi Aziza Mangosongo na kwamba viatu vya Cosmas Nshenye vitamtosha na tutaweza kukimbia kwa pamoja  katika mbio hizi za kuleta maendeleo na kuhakikisha kufikia hazima ya Ilani ya chama cha Mapinduzi

Na Makangury        

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA MAJIBU YA USAILI WA UDEREVA MAFUNZO KWA VITENDO June 20, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • VIONGOZI WA MAJUKWAA YA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI WAPATIWA MAFUNZO KWA KATA 19 MBINGA MJI.

    January 21, 2026
  • MKURUGENZI MBINGA MJI APOKEA RIPOTI YA AWALI YA MAFUNZO NA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO

    January 19, 2026
  • PPRA KANDA YA KUSINI YAWAJENGEA UWEZO WATUMISHI MBINGA TC KUHUSU SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA

    January 19, 2026
  • MBINGA YAFUNGUA FURSA MPYA ZA UWEKEZAJI

    January 17, 2026
  • Tazama zote

Video

MKUU WA WILAYA YA MBINGA AHITIMISHA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Halmashauri ya Mji Mbinga

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki