• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

BARAZA LA MADIWANI MBINGA MJI LAPITISHA BAJETI YA BIL. 34.5 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/26

Tarehe ya kuwekwa: February 19th, 2025


 

Mbinga. Baraza la Madiwani Halmashauri ya Mji wa Mbinga  kwa kauli moja limepitisha rasimu ya Bajeti ya Shilingi bilioni 34.5 kwa mwaka wa fedha 2025/2026.


Bajeti hiyo imetangazwa februari 18, 2025 katika kikao cha Baraza la madiwani kilichoketi kujadili na kuidhinisha mapendekezo ya bajeti na  kusomwa na Kaimu Mkuu wa kitengo cha Mipango  Halmashauri ya Mji wa Mbinga Bw. Charles Yapesa.


Bw. Yapesa ameeleza bajeti hiyo imebanisha vipeumbele 15, ikiwemo kuongeza makusanyo ya mapato ya ndani kwa kusimamia kikamilifu vyanzo vya mapato vilivyopo na kuibua vyanzo vipya, kuimarisha dhana ya Utawala bora kwa kusimamia utoaji bora wa huduma na kuzuia Rushwa.


Pamoja na kuboresha utoaji wa huduma za afya kwa kuimarisha miundombinu iliyopo na kuendeleza ujenzi wa  majengo mapya,kuboresha upatikanaji wa dawa na kuongeza wataalam.


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mhe. Kelvin Mapunda amemshukuru Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe. Kisare Matiku Makori kwa kuwaongoza vyema na kufanikiwa kuweza kuongeza mapato mengi ndani ya Halmashauri ya Mji wa Mbinga.


“Nimpongeze Mkurugenzi wetu na wataalam wake kwa kuweza  kutuonesha dira kupitia maelekezo ya Mkuu wa Wilaya na vyanzo vyetu vya ndani tumeweza kuongeza mapato” alisema Mhe. Mapunda


Mhe. Mapunda ameongeza kuwa katika usimamizi wa miradi Halmashauri imejipanga kukamilisha na kumaliza miradi kwa wakati na ubora.


Nae, Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe. Kisare Matiku Makori ametoa pongezi kwa Halmashauri ya Mji wa Mbinga kwa ukusanyaji mzuri wa mapato na usimamizi  wa miradi.


“Pamoja na usimamizi mzuri wa miradi yetu ili tuakikishe inaisha kwa wakati” alisisitiza Mhe. Makori




Matangazo

  • TANGAZO LA MAPOKEZI YA FEDHA March 20, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Karibu Mwenge wa Uhuru Halmashauri ya Mji wa Mbinga Tarehe 13 Mei 2025

    May 06, 2025
  • Huduma za Dawati la Msaada wa Kisheria Halmashauri ya Mji wa Mbinga

    May 05, 2025
  • JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WILAYA MBINGA YAOMBA HALMASHAURI YA MJI MBINGA KUBORESHA VIBANDA SOKO LA MISHENI

    April 28, 2025
  • TRA WILAYA YA MBINGA YAVUKA MALENGO MAKUSANYO MAPATO KWA MWAKA WA FEDHA JULAI 2024 HADI MACHI 2025

    April 24, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.