• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

DC MBINGA AWASISITIZA WATENDAJI KUWA NA TAARIFA SAHIHI ZA HALI LISHE KATIKA KATA ZAO

Tarehe ya kuwekwa: August 3rd, 2021

Tathmini ya Mkataba wa Lishe  kipindi cha robo ya nne ya Mwaka , katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga , Mwenyekiti wa kikao hicho ambae pia ni Mkuu wa Wilaya   Mhe; Aziza Ally Mangosongo amewasisitiza  watendaji wa kata kuweka na kujadili ajenda ya Lishe  katika vikao ya maendeleo ya  kata ,vijiji na mitaa  ili kujenga uwelewa  wa Lishe bora katika jamii.Uwasilishwaji wa taarifa ya utekelezaji wa  afua ya Lishe ngazi ya Jamii, Mitaa au vijiji  vilivyo andaa taarifa ya hali ya lishe kwa watoto chini ya miaka mitano,Wanawake wajawazito na wanao nyonyesha  ni  lazima  taarifa hizo zibandikwe  katika  ubao wa matangazo wa kata, kama viashiria vya Mkataba wa Lishe wa robo ya nne ya mwaka.

Ataivyo Mkuu huyo wa Wilaya amewataka  watendaji hao kuwa na taarifa sahihi za Lishe katika kata zao, kuakikisha wanaadhimisha siku ya Afya na Lishe katika vijiji na mitaa kwa robo ya nne ya mwaka  kwa kuwa waondio Wakurugezi  katika kata hizo. Kwa upandewake  Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo,Bi Grace Quintine ameitoa rai kwa watendaji wa kata na wakuu wa Idara, ipohaja ya kujihami kwa kujiepusha na kupunguza kula vyakulaya vya  mafuta kwa wingi akitolea mfano wa  viazi (chips), kufuata lishe bora ,kushiriki katika mazoezi ya viungo ,kula mayai ya kuchemsha, kutajenga na kuimarisha miili yetu

Kwa upande mwingine Mkurugenzi huyo meongeza na kutoa maaekezo kwa Afisa Lishe wa Halmashauri  Bi Sheila Mbike, kuandaa katika maadhimisho ya siku ya Afya na Lishe kiwailaya,  kuwepo na  vyakula wakishirikiana na Maafisa wa Maendeleo ya jamii pamoja na Afisa  Utamaduni Sanaa na Michezo na kumwalika Mgeni rasmi  Mkuu wa Wilaya amabaye ndio Mwenyekiti  katika kikao hicho cha Lishe. Pamoja nachangamoto za  kutokuwa na taarifa na takwimu sahii, watendaji wameshuriwa kutumia rejesta za makazi ili kuwa na takwimu sahii, ataivyo  mchakatao wa kutengeneza vitabu vya kukusanyia taarifa unaendelea katika utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2021/2022  

Na Makangury 

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.