• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

DC MBINGA ; MADIWANI HAKIKISHENI WATAKAO CHAGULIWA, WANAKWEDA SHULE

Tarehe ya kuwekwa: November 19th, 2021

Madiwani Halmashauri ya Mji wa Mbinga wapokea taarifa za utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2021/2022 ambapo kamati mbalimbali, taasisi za uma ziliwasilisha kwa mwenyekiti wa Halmashauri Ndg Kelvin Mapunda na mdiwani kupata nafasi ya kuzijadili. Sambamba na hayo baraza hilo lili hudhuliwa ana Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe; Aziza Ally Mangosongo na Mbunge wa Mbinga Mjini Mhe; Jonas Mbunda 

Pamoja na kuwepo na changamoto kwa baadhi ya kamati katika kujadili changamoto hizo, Mkuu wa Wilaya Mhe; Aziza Mangosongo amezishauri kamati hizo kushiriki kikamilifu kuzichambua changamoto zao ili kuweza kupata majibu ya utatuzi wa changamoto hizo. Kwaupande mwingine Mhe; Aziza amewasisitiza madiwani kuwahamasisha wananchi kutumia nishati mbadala nakupunguza ukataji wa miti kwa matumizi ya mkaa, ilikusaidia kukabiliana na hali ya mabadiliko ya tabia nchi ambapo kwa sasa kiwango cha joto kimeongezeka, hivyo halihii inaweza kuleta upungufu wa mvua na wakulima wakashindwa kupata mazao kwa wingi.

Pia mkuu huyo wa Wilaya amewaomba madiwani kuakikisha kila mwanafunzi aliye chaguliwa anakwenda shule, vilevile watumishi kushirikiana na madiwani katika kukamilisha miradi inayo tekelezwa, chini ya mpango wa taifa mapambano dhidi ua uviko 19, na kwamba kila mtumishi atimize wajibu wake. Kwa upande wake Mbunge wa Mbinga Mjin Mhe; Jonas Mbunda ametoa rai kwa madiwani, kuiarakisha pia miradi ya zamani kwa kasi hiyo ya miradi ya uviko 19 ili kuweza kutatua changamoto zinazo wakabili wananchi.

Akifunga baraza hilo Mwenyekiti Ndg; Kelvin Mapunda amewataka madiwani kushirikiana na watendaji wa kata hususani katika utekelezaji wa miradi ya uviko 19 na kuakikishia wanafika eneo la mradi saini katika kitabu sambamba na kubaini changamoto zinazo wakabili kamati za ujenzi katika mradi husika hivyo kutatuliwa kwa haraka. 

    Na Makangury

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.