• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

DC MBINGA MJI AHAIDI KUKABIDHI MIRADI YA MPANGO WA TAIFA UVIKO 19 DISEMBA 05 2021

Tarehe ya kuwekwa: October 28th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Mbinga  Mhe . Aziza Ally Mangosongo ameyasema hayao katika kikao kazi cha utekelezaji wa miradi  ya Mpango wa Taifa wa ustawi wa jamii na mapambano dhidi ya uviko 19 ambapo Wakuu wa Idara na Vitengo ,Wakuu wa shule   pamoja  Watendandaji amewataka   kusimamia miradi hiyo kwa uadilifu na uzalendo sambamba na wahusika kukili mapokezi ya fedha walizo pokea. Mhe .Aziza amesema ni lazima kujiwekea malaengo na muda wakumaliza miradihiyo kwa wakati, kwakua miradi hii imejikita katika Elimu katika Halmashauri yetu hivyo hatunabudi kujiwekea ukomo wa ukamilishaji  wa mirad ambapo amesema ivikapo tarehe 05/12/ 2021 miradi iwe imekamilika na kwamba hali hii itasaidi upatikanaji wa maradasa kwa wanafunzi watakao jiunga na kidato cha kwanza ifikapo januari 2022.

Kwa upande mwingine Mhe. Aziza  ameongeza kuwa nilazima kuwa na mikakati kwa  utekelezaji  wa miradi hio, kwakua miaradi hiyo inatatekelezwa kwa Foce Account na pia utolewaji wa fedha hizo ni kipimo kwa kila Halmashauri,hivyo kutakuwepo na zoezi la kuwapata washindi  kwa Halmashauri itakayo fanya vizuri katika utekelezaji wa miradi hiyo. Amesema nilazima taarifa kwa wanachi itolewe ili  watambue miradi iliyowafikia na kiasi cha fedha, sambamba na ubandikaji wa taarifahizo katika ubao wa matangazo katika eneo la Mradi husika.  

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Bi. Grace Quintine amesema amepokea kiasi cha shiringi milioni 680 kwa ajili ya Utekelezaji wa vyumba vya  madarasa 34 kwa shule za Sekondari, Milioni 100 kwa ajili ya utekelezaji wa vyumba vya madarasa 5 kwa shule Shikizi ya Msingi na Milioni 80 kwa ujenzi wa bweni shule shikizi ya Msingi  kiwanjan, hivyo kufanya Jumla ya shilingi Milioni 860  iliyo tolewa katika Halmashauri hiyo kwaajili ya utekelezaji wa mpango wa Taifa wa ustawi wa jamii na mapambano dhidi ya Uviko -19.

 Akitoa taarifa juu ya mikakati ya utekelezaji wa miradi hiyo kwa Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi Bi. Grace amaesema marabaada ya kutangazwa kutolewa kwa fedha hizo, Halmashauri imefanya yafuatayo, imepitia michoro na BOQ, kuunda kamati za ufatiliaji wa miradi, kufanya mchujo wa mafundi watakaoomba kufanyakazi na Halmashauri katika miradi hiyo kwa mwaka 2021/202. Pia  Mkurungenzi ameanishaji  na kusisitiza kwa bidhaa zitakazo nunuliwa viwandani kama Saruji, Bati, Nondo Vitasa  na Malumalu pia mawasiliano na viwandahivyo yanaendelea ,sambamba na uteuzi wa waratibu watakao toa taarifa za utekelezaji wa Miradi  na kutabaulishwa kwa barua kwa maeneo ya mradi husika . Amesema pamoja na kuwepo kwa usimamizi  wa Utekelezaji wa miradi hiyo kutafanyika pia uhamasishaji wa kupata chanjo ya Uviko -19 katika maeneo ya miradi.  Ikumbukwe ivikaribuni Mhe. Samia Suluhu Hassani  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa fedha kwa kila Halmashauri kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali  ya maendeleo  ikiwemo  miundombinu ya Elimu , Afya na  kuwawezesha wananchi kiuchumi

Na Makangury

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJIBU YA USAILI WA UDEREVA MAFUNZO KWA VITENDO June 20, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Wajasiriamali Mbinga Mji washiriki Maonesho ya Sabasaba

    July 08, 2025
  • Mazoezi ya Viungo Mbinga Tc

    July 08, 2025
  • Kheri ya Sikukuu ya Sabasaba

    July 07, 2025
  • Mkurugenzi Halmashauri ya Mbinga Mji atembelea Maonesho ya Sabasaba Jijini Dar es salaam

    July 05, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.