• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji Mbinga

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

DC MBINGA WANAWAKE OMBENI MITAJI KWA WENZIWENU

Tarehe ya kuwekwa: March 1st, 2023

DC Mbinga Mhe Aziza Ally Mangosongo awahasa wanawake Wilayani humo  kuomba mitaji kwa wenzi wao, na sio kuomba omba fedha kila mara, kwa maana kwa kufanya hivyo wanawake wataweza kupiga hatua kwa kuendeleza mitaji hiyo na kuinua uchumi wa wanamke katika jamii.

Mhe; Aziza ameyasema hayo katika Uzinduzi wa Siku ya Wanawake duniani katika viwanja vya Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Mbinga, mara baada ya kupokea maandamano ya wanawake yalioanzia Ofisi za Mkuu wa Wilaya, na kuwasili katika viunga vya Hospitali hiyo.

Hata hivyo Mkuu huyo wa Wilaya aeongeza kuwa sambamba na changamoto za ukatili wa kijinsia amabazo bado zinaendelea katika jamii yetu , jukumu la malezi kwa ajamii inayo tunzunguka bado ni la wanawake hivyo wanawake msife moyo tuendelee kuzilea hizo ni familia zetu

 Kilele cha Siku ya wanawake duniani Mkoa wa Ruvuma itafanyika tarehe 08/03/2023 katika Wilaya ya Nyasa ikijisadifu na kauli mbiu inayosema “Ubunifu na Mabadiliko ya Teknolojia chachu katika kuleta Usawa wa Kijinsia”.ambapo katika uzinduzi wa siku hiyo walihudhulia baadhi ya viongozi na Vyama mbalimbali wakiwemo CWT, Waheshimiwa Madiwani, Wakurugenzi wa Halmashauri zote Mbili, Dawati la jinsia Polisi katika kisherehesha siku hiyo.   

Katika Hatua nyingine Mhe; Aziza alipata wasaa wa  kukabidhi baadhi ya mahitaji katika hospitali hiyo kama blanketi, shuka Sambamba na wengine kuchangia damu  ikiwa ni moja ya matendo ya huruma yaliyo tolewa na wanawake Wilayani humo.     

Na Makangury  

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA MAJIBU YA USAILI WA UDEREVA MAFUNZO KWA VITENDO June 20, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • VIONGOZI WA MAJUKWAA YA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI WAPATIWA MAFUNZO KWA KATA 19 MBINGA MJI.

    January 21, 2026
  • MKURUGENZI MBINGA MJI APOKEA RIPOTI YA AWALI YA MAFUNZO NA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO

    January 19, 2026
  • PPRA KANDA YA KUSINI YAWAJENGEA UWEZO WATUMISHI MBINGA TC KUHUSU SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA

    January 19, 2026
  • MBINGA YAFUNGUA FURSA MPYA ZA UWEKEZAJI

    January 17, 2026
  • Tazama zote

Video

MKUU WA WILAYA YA MBINGA AHITIMISHA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Halmashauri ya Mji Mbinga

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki