• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

TD MBINGA MJI AWAALIKA WADAU WA KILIMO KUJADILI KILIMO CHA PAMOJA

Tarehe ya kuwekwa: October 12th, 2021

Wadau wakilimo wakutana kujadili kilimo cha pamoja katika Halmashauiri ya Mji wa Mbinga  ikiwa ni mpango wa kimkoa ya  kwamba kila Halmashauri  kuweka mkakati wa kuwa na kilimo cha pamoja ambapo kila Halmashauri imepewa lengo lakuanza na ekari 2,000. Akifungua mkutano huo  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Bi. Grace Quintine amesema  kilimo cha pamoja ni mpango wa Serikali kimkoa kwa kila Halimashauri wakishirikiana na wadau wa kilimo, kujadilli kwapamoja mpango huo ili kuzitatua changamoto zinazo wakabili  wakulima  ikiwa watashiriki kilimo cha pamoja . Amesema kilimo cha pamoja kita tusaidia upatikanaji wa masoko ya  uwakika ,  elimu  ya kilimo kwa wakati , pembejeo, mbegu bora  na utayarishaji wa shamba kwa uraihisi.

Aidha mkutano huo uliowashirikisha Maafisa ugani, Viongozi wa Amkosi ,Wakulima Taasisi za fedha  Wauzaji wa pembejeo,Wasafirishaji, Viongozi wa kijiji ,na kata sambamba na wamiliki wa Mitambo ya kusafisha mashamba. Mazao kamaa Soya, Alizeti na Ufuta nimazao ambayo ni ya mpango mkakati katika kilimo cha pamoja , ili kuwa na kilimo chenye tija na kumwinua mkulima kiuchumi  katika Mkoa wa Ruvuma .Umuhimu wa kikao hicho ni kutoa  elimu ya kilimo cha pamoja ,upatikanaji wa eneo la ekari 2000 Sambamba na kuwauganisha wakulima na wadau wengine ambao wana umuhimu katika kufanikisha kilimo cha pamoja kama vile Wamiliki wa maeneo,Taasisi za fedha,Wauza pembejeo, Wenye viwanda vya kuchakata mfuta.

Kwaupande wao wadau hao  wamekuwa na mwitikio chanya, ambapo jumla ya ekari 647 zimepatikana kwa taarifa ya awali ikiwa na upungufu wa ekari 1353 kati ya ekari 2000 zinazohitajika . Atahivyo wadau hawo wameshauri  kupitia watendaji  na  Maafisa ugani na Halmashauri kwa ujumla kuwafikia  wamiliki wa maeneo makubwa ili kuwapa elimu ya kilimo cha pamoja, hii itasaidia kupata maeneo yalio baki kitimiza dhima ya Mkoa ya ekari 2000. Taasisi za kifadha wamelipokea wazohilo  pamoja kumekuwepo kwa changamoto ya kijiografia kuweza kuwafikia Wakulima ,mpango huo utawasaidi kuwa na uhakika na usalama wa mikopo watakayo toa kwa wakulima  na kwamba kama taasisi za fedha wakotayari kuwakopesha wakulima hao   

Na Makangury        

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.