• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

HALMASHAURI YA MJI WA MBINGA YATOA MIKOPO YA SHILINGI BILIONI 1.2 KATIKA KIPINDI CHA MIAKA NANE

Tarehe ya kuwekwa: November 15th, 2023


Na Erasto George


Mbinga.  Katika kipindi cha miaka nane, Halmashauri ya Mji wa Mbinga imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.2   Kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu.


Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Mji wa Mbinga Bi. Cecilia Mbata alisema mikopo hiyo itokanayo na fedha za asilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri,  ilitolewa kwa vikundi 258.


“Vikundi hivi vilivyopatiwa mikopo ni kati ya vikundi 1,111 vilivyosajiliwa katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga,” alisema Bi. Cecilia wakati wa ziara ya ukaguzi wa vikundi vya wajasiriamali hao mwiishoni mwa wiki jana.


Akizungumza kwa niaba ya wakaguzi wa vikundi hivyo, alisema kuwa lengo la ziara hiyo ni kuangalia shughuli zinazoendeshwa na vikundi hivyo.


Aliongeza kuwa ziara hiyo pia inalenga kuvikumbusha vikundi hivyo kuwa shughuli zao zinatakiwa kuwa endelevu na kurudisha marejesho yao ili vikundi vingine viweze kupata mikopo hiyo.


"Serikali inatoa mikopo ili kuvikomboa vikundi kiuchumi pia ni muhimu kufanya marejesho yao kwa wakati sahihi,''alisisitiza Bi. Cecilia.


Pia, aliwashauri wanachama wa vikundi hivyo kufanya kazi kwa bidii ili waweze kujikomboa kiuchumi.


Wakaguzi hao walitembelea vikundi 6 ambavyo ni kikundi cha  Neema yetu, Kikuza uchumi, Mapendano, Jiwezeshe pamoja na vikundi vya watu wenye ulemavu cha  Ilela na Baraka.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJIBU YA USAILI WA UDEREVA MAFUNZO KWA VITENDO June 20, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Wajasiriamali Mbinga Mji washiriki Maonesho ya Sabasaba

    July 08, 2025
  • Mazoezi ya Viungo Mbinga Tc

    July 08, 2025
  • Kheri ya Sikukuu ya Sabasaba

    July 07, 2025
  • Mkurugenzi Halmashauri ya Mbinga Mji atembelea Maonesho ya Sabasaba Jijini Dar es salaam

    July 05, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.