• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

IDARA YA ELIMU SEKONDARI YAWEKA MIKAKATI NAMNA YA KUONGEZA UFAHURU HALMASHAURI YA MJI WA MBINGA

Tarehe ya kuwekwa: February 12th, 2022

Waalimu idara ya elimu sekondari katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga wajengewa uwezo na kuweka mikakakati ya nanmna yakuongeza ufahuru kwa wanafunzi. Akufungua kongamano hilo Mkurugenzi wa Halmashuri hiyo Bi Grace Quintine amesema kuna haja ya waalimu kubadirika na kuacha kufundisha kwa mazoea sambamba na kuepuka visingizio vya miradi inayo endelea katika shule zao na kushindwa kukamilisha majukumu ya ufundishaji kwa wakati. Atahivyo Bi Grace amesema wakuu wa shule ya wapasa kuwa na upendo katiki yao na mwalimu,  kuyajua mapaungufu na kwanamna nyingine waweze kutatua changamoto zinazo wakabili walimu pindi wanapokua katika majukumu yao . “Najua kunachangamoto nyingi sana miongoni mwenu ila kushirikishana ndio suruhisho katika utendaji kazi kuliko kusubiri viongozi wakitaifa, ofisi yangu ikowazi kwa waalinu na yeyote mwenye changamoto alisema Quintine”.

Kongamano hilo lililoshirikisha baadhi ya wataalamu akiwemo Mkuu wa takukuru, kaimu kamanda wa polisi , mwanasheria na waratibu wa  chama cha  elimu CWT,Udhibit ubora na mratibu wa TSC wakitoa mada kwa waalimu namna ya kuweza kuongeza ufahuru kwa wanafunzi sambamba na kuwakumbusha taratibu na kanuni za misingi ya utumishi wa uma. Atahivyo watalamu wame sisitiza swala la utoro kazini, kufuata miongozo ,kanuni na taratibu za utumishi wa uma, ukopaji kwa waalimu uliokithili, sambamba na matumizi ya vileo wakati wa kazi ni miongoni mwa mambo  amabayo yanaweza kuleta tafsiri mbaya kwa mtumishi wa uma hivyo waalumu wameombwa kuacha halihiyo na kuwa wabunifu katika ufundishaji kwa wanafunzi.  

Na Makangury     

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.