• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WILAYA MBINGA YAOMBA HALMASHAURI YA MJI MBINGA KUBORESHA VIBANDA SOKO LA MISHENI

Tarehe ya kuwekwa: April 28th, 2025

Akitoa taarifa ya Jumuiya ya wafanya Biashara TCCIA katika baraza la Biashara la Wilaya, Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Ndg: Adv. Gaudence Ndomba ameanza kwa kutoa salamu za shukrani kutoka kwa jumuiya hiyo ya wafanyabiashara, wakishukuru Wilaya ya Mbinga na Serikali kwa Mfanikiao waliyo ya pata katika Nyanja mbalimbali, ikiwemo kufanya biashara katika mazingira yenye amani utulivu

Baraza hilo likiongozwa na katibu tawala wa Wilaya Bi: Pendo Daniel kwaniaba ya Mkuu wa Wilaya, lililo hudhuliwa na wadau mbalimbali walipakodo, baadhi ya wafanyabiashara, Taasisi mbalimbali, Jumuiya ya Wafanyabiashara maafisa wataalamu wa biashara kutoka Halmashuri zote mbili pamoja na Wakurugenzi

Ushiriki wao wa Kulipakodi kwa hiyari na  wakati  bila shuruti kitendo kilicho pelekea kuvuka malengo ambayo Serikali kupitia mamlaka ya mapato TRA walitupangia . kwamba kamishna Mkuu wa  Mapato Tanzania TRA alitambua mchango Mkubwa wa wafanyabiashara Wilaya ya Mbinga na kuwa tunuku cheti Maalumu (Certificate of Appreciation) kwa kuvuma malengo ya ulipaji kodi waliyopangiwa.

Ameeleza utatuliwaji wa changamoto  mbalimbali za wafaanya biashara ulipaji wa ushuru wa huduma kwa namna yaa malimbikizo ya miaka miwili hadi mitatu, changamoto hiyo sasa imerekebishwa na kwa sasa ushuru wa huduma  kulipwa katika mwaka husika wa fedha, hivyo wafanyabiashara kuweza kulipa kwa wakatiki bila shuruti.

Atahivyo kutolewa kwa tozo ya malori geti la Lusaka, kuwekwa kwa taa za barabarani, Makadirio kodi kuendana na uhalisia wa biashara husika, usafi wa mazingira , Sambamba kushirikishwa kuchangia mbio za mwenge kumeleta tija na ufanisi miongoni wa Jumuiya ya wafanya biashara.

Kwa upande mwingine Jumuiya hiyo ya wafanyabiashara Wilaya ya mbinga pamoja mafanikio hayo imeiomba TRA kufanyia kazi changamoto zao kwa wakati, Halmashuri ya Mji wa Mbinga ikarabati vibanda vya soko la Misheni, na  Kwakua mradi mkubwa wa soko la kisasa utafika hivyo jumuiya ya wafanyabiashara  yaiomba Halmashauri ya Mji Mbinga kuwa na majina ya wale waliopo ndani ya soko hilo ili kupewa kipaumbele marabaada ya soko hilo kukamilika.    

Na Makangury       

Matangazo

  • TANGAZO LA MAPOKEZI YA FEDHA March 20, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE WA UHURU WAWASILI MKOA WA RUVUMA

    May 10, 2025
  • Karibu Mwenge wa Uhuru Halmashauri ya Mji wa Mbinga Tarehe 13 Mei 2025

    May 06, 2025
  • Huduma za Dawati la Msaada wa Kisheria Halmashauri ya Mji wa Mbinga

    May 05, 2025
  • JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WILAYA MBINGA YAOMBA HALMASHAURI YA MJI MBINGA KUBORESHA VIBANDA SOKO LA MISHENI

    April 28, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.