• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

Kamati ya Fedha Halmashauri ya Mji Mbinga yapongeza Usimazi wa Miradi ya Maendeleo

Tarehe ya kuwekwa: May 10th, 2023

Kamati ya Mipango na fedha ya Halmshauri ya Mji wa Mbinga mkoani RUVUMA imefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendelo katika Baadhi ya kata, ikiwa ni sehenu ya utekelezaji wa majukumu yao ya kusimamia na kutoa maelekezo ili kuleta ufanisi na ubora wa kazi zinazo fanyika katika  miradi hiyo.


Katika Ziara hiyo kamati iliambatana na Mkurugenzi Mtendaji Bi Grace Quintine pamoja na wataalamu kutoka idara za Elimu, Afya ,Ukaguzi wa Ndani na Mhandisi.  


Baadhi ya miradi iliyotembelewa ni pamoja na Ujenzi wa Vyumba vitatu vya Madarasa Shule ya Msingi Kitangali na ujenzi wa Zahanati katika kijiji cha Kihuka kata ya Luwaita.


Hata hivyo Kamati ilipata muda wa kutembelea Ujenzi wa maabara  za Shule za Sekondari zinazojengwa katika kata za Kilimani na Luhuwiko.

Ikumbukwe kuwa baadhi ya Miradi hiyo inatekelezwa na fedha kutoka Serikali kuu na mingine Mapato ya Ndani sambamba na nguvu za wananchi.


Aidha Kamati imeridhia maendeleo ya Ujenzi unaoendelea katika kata hizo hivyo kuendelea kutoa maelekezo na msisitizo katika kuhakikisha ujenzi huo unamalizika kwa wakati Sambamba na kupongeza Mkurugenzi Mtendaji  wa Halmashauri Bi Grace Quintine  pamoja na timuyake ya watalaamu.


Na Ofisi ya Mkurugenzi kitengo cha Mawasiliano Serikalini 

                  Halmashauri ya Mji wa Mbinga 


Matangazo

  • TANGAZO LA MAJIBU YA USAILI WA UDEREVA MAFUNZO KWA VITENDO June 20, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • VIKUDI 36 VYA TEMBELEWA KAGULIWA MIKOPO ASILIMIA10 HALMASHAURI YA MJI WA MBINGA

    July 14, 2025
  • Wajasiriamali Mbinga Mji washiriki Maonesho ya Sabasaba

    July 08, 2025
  • Mazoezi ya Viungo Mbinga Tc

    July 08, 2025
  • Kheri ya Sikukuu ya Sabasaba

    July 07, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.