• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji Mbinga

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

KAMATI YA FEDHA YATEMBELEA MIRADI YA SH333 MILIONI

Tarehe ya kuwekwa: May 4th, 2024



Na Alex Nelson Malanga


Afisa Habari----Mbinga Mji


Mbinga. Kamati ya Fedha ya Halmashauri ya Mji wa Mbinga ikiongozana na  Wataalamu wa Halmashauri leo Mei 4, 2024 imetembelea miradi saba ya afya na mmoja wa elimu yenye thamani ya shilingi milioni 333.    


Miradi hiyo iliyotembelewa na kamati hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Kelvin Mapunda ni zahanati za Masumuni iliyopo kata ya Masumuni (Sh27 milioni), Luwaita---kata ya Luwaita (Sh50 milioni) na Kitelea--- kata ya Kilimani (Sh50 milioni).  


Zahanati nyingine ni zile za Makatani, kata ya Kagugu (Sh26 milioni), Kagugu---kata ya Kagugu (Sh50 milioni), Njomlole---kata ya Kikolo (Sh50 milioni), Lupilo---kata ya Kitanda (Sh40 milioni) na ujenzi wa madarasa mawili katika shule ya Msingi Utiri, kata ya Utiri (Sh40 milioni).


Mhe. Mapunda alisema kati ya zahanati saba zilizotembelewa na kamati, tano ambazo ni Masumuni, Luwaita, Kagugu, Makatani na Kitelea zinatarajiwa kufunguliwa kabla ya mwezi Mei 30, 2024.


“Tumeona ni vema kabla ya tarehe 30 mwezi huu tukafungua zahanati tano ambazo ujenzi wake umekamilika na kwa hizo zilizosalia tunatamani zifunguliwe mwishoni mwa mwezi huu,” alisema Mhe. Mapunda.


Alisema haraka iwezekanavyo Halmashauri itapeleka pesa kwaajili ya umaliziaji wa ujenzi wa zahanati hizo.


Aliongeza: “Ni dhamira yetu kusogeza huduma karibu kwa wananchi. Hatutaki kuona wananchi wanatembea umbali mrefu kufuata matibabu. Lazima tuendelee kutekeleza ilani ya Chama cha Mapinduzi ili tuingie kwenye uchaguzi tukiwa vizuri zaidi."

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA MAJIBU YA USAILI WA UDEREVA MAFUNZO KWA VITENDO June 20, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • VIONGOZI WA MAJUKWAA YA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI WAPATIWA MAFUNZO KWA KATA 19 MBINGA MJI.

    January 21, 2026
  • MKURUGENZI MBINGA MJI APOKEA RIPOTI YA AWALI YA MAFUNZO NA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO

    January 19, 2026
  • PPRA KANDA YA KUSINI YAWAJENGEA UWEZO WATUMISHI MBINGA TC KUHUSU SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA

    January 19, 2026
  • MBINGA YAFUNGUA FURSA MPYA ZA UWEKEZAJI

    January 17, 2026
  • Tazama zote

Video

MKUU WA WILAYA YA MBINGA AHITIMISHA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Halmashauri ya Mji Mbinga

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki