• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

Madiwani Mbinga Mji Robo ya tatu, Wampongeza na kumshukuru Mhe; Rais Daktari Samia Suluhu Hassan Kwa kuendelea Kuleta Fedha Utekekezaji Miradi ya Maendeleo

Tarehe ya kuwekwa: May 17th, 2023

Kikao cha baraza la Madiwani cha robo ya tatu Halmashauri ya Mji wa Mbinga, kimefanyika katika  Ukumbi wa Oddo Mwisho, May 16 2023. Kikao hicho kimehudhuriwa na kamati ya Usalama ya Wilaya, Waheshimiwa Madiwani, Wakuu wa idara na vitengo ,viongozi wa taasisi, Afisa Tarafa, Viongozi wa chama na viongozi wa dini, watendaji kata na wageni mbalimbali walioalikwa.

Lengo la kikao hicho ni kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo yahusuyo Halmashauri ya Mji wa Mbinga katika nyanja mbalimbali, Moja ya mambo yaliyojadiliwa ni kupokea taarifa za utekelezaji wa shughuli za taasisi mbalimbali Kwa kipindi cha robo ya tatu ya Jan-March 2023 katika taasisi za Tanesco, Ruwasa, Mbiwasa na Tarura, Vyanzo vya mapato na matumizi yake, miradi ya boost na masuala mbalimbali ya kiutumishi.

Hata hivyo, Wajumbe wa kikao hicho walipata nafasi ya kuhoji, kutoa maoni, mapendekezo  na ushauri ili kuweka maazimio ya pamoja na mikakati ya kuinua makusanyo hususani  maeneo ambayo hayajafanya vizuri katika makusanyo na kutoa huduma muhimu kwa wananchi ili yafanyiwe marekebisho kwa faida na maslahi mapana  ya Mbinga na taifa kwa ujumla.

Aidha, Katika kikao cha baraza la Madiwani cha robo ya tatu ya Jan-March 2023 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Bi. Grace S. Quintine alitumia nafasi hiyo kuishukuru Serikali ya awamu ya sita Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daktari Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa fedha nyingi za miradi ya maendeleo ikiwepo Afya, Maji, Elimu na Miundombinu ya barabara.

Ambapo alieleza kwamba Halmashauri ya Mji wa Mbinga imepokea kiasi cha shilingi milioni 995,000,000/= kutoka Serikali kuu, Fedha hizo zimelekezwa kwenda kujenga Vyumba viwili vya madarasa na matundu matatu ya vyoo kwa baadhi ya kata na shule mpya zenye mkondo mmoja mbili za msingi katika kata ya Matarawe na mpepai ili kupunguza msongamamo katika shule za maeneo hayo. Vilevile alieleza na kubainisha mikakati, Kanuni na miongozo ya Serikali na Halmashauri katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimkakati

               

Naye, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mhe; Kelvin Mapunda Kwa niaba ya Madiwani alitumia nafasi hiyo kuipongeza na kuishukuru serikali sikivu na makini ya awamu ya sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.  Daktari Samia Suluhu Hassan Kwa kuendelea kutoa fedha nyingi za miradi jambo ambalo linaleta faraja Kwa wananchi kwa kusogezewa huduma muhimu karibu na maeneo yao.

Mwisho, Mkurugenzi alitoa rai kwa viongozi na wananchi kuendelea kushirikiana na wataalamu waliopo katika maeneo yao ili kuwa na dira ya pamoja inayolenga kukuza uchumi na pato la taifa, Vilevile kushiriki shughuli mbalimbali za maendeleo katika maeneo yetu kwasababu zinalenga kuboresha huduma muhimu za kijamii.

IMETOLEWA NA

OFISI YA MKURUGENZI

HALMASHAURI YA MJI WA MBINGA

MAY 17, MWAKA 2023

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.