• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MATEKA YAHAMASISHWA KUSHIRIKI MIRADI KATIKA KATA YAO

Tarehe ya kuwekwa: May 28th, 2021

 MATEKA YAHAMASISHWA KUSHIRIKI KUCHANGIA MAENDELEO KATIKA KATA YAO

Wataalamu kutoka Halmashauri ya Mji Mbinga wafika kukagua na kuhamasisha kamati zilizoundwa kusimamia  ujenzi wa maabara ya shule ya sekondari Lamata katika kata ya Mateka. Ataivyo Wataalamun hao  pamoja na kamati ya ujezi wa mradi na viongozi wa kata , walipata wasaa kujudili maendeleo ya mradi katika kata hiyo ili kujua hatua zilizofikiwa nakubaini changamoto  katika utekelezaji wa mradi huo

Akitoa taarifa ya mradi, mtendaji wa kata hiyo Ndg Hendrick Ngairo  amesema pamoja na majukumu waliogawana kwa vijiji vitatu  vya Tanga, Mateka na Lazi bado changamoto zipo za kudhoofisha mradi huo ambapo serikali imetoa fedha kwa ajili ya ukamilishaji wa  maabara  hususani katika ununuaji wa vifaa vya viwandani. Mateka ni miongoni mwa kata katika Halmashauri ya  Mji Mbinga  iliopata fadha kiasi cha Milioni sitini kwa ajili ya umaliziaji wa jingo la maabara katika shule ya Sekondari Lamata  .

Akitoa hamasa Kwa wanakamati na viongozi ngazi ya kata Afisa Mipango Halmashauri Mbinga Mji Ndg Joseph Mwagama amesema serikali imetoa fedha kwa ajili ya mradi huo kwa utaratibu wa force Account na kwamba fedha hizo nikidogo hivyo wananchi wanapaswa kujitoa kwa kuchangia na kwamba fedha hizo ni umaliziaji katika mradi huo na sivinginevyo

Kwaupande wake Diwani wa kata hiyo  Mh Methodi Ndunguru amewataka wanakamati katika mradi huo kushirikiana na viongozi wa kata watendaji wa vijiji ili kumaliza mradi kwa wakati.Sambamba na hayo amewapongeza wananchi wa Mateka kwa kuhamasika kujitoa na kua mstari wa mbele katika kutekeleza majukumu waliopangiwa kwa wakati

Ziara hiyo imekuja na maazimio ya kwamba, kunahaja ya kutembelea vijiji vya Tanga na Lazi ili kuwaamasisha kushiriki kikamilifu katika mradi huo. Kila kijiji kukusanya matofali elfu 10  ili kutimiza matofali elfu 30 kiwango walicho kubaliana mpaka kukamilisha mradi huo. Vijiji hivyo viwili vimeonyesha udhaifu  katika utekelezaji wa mradi huo, hivyo  kufikia maazimio hayo ambayo kwayo yanakuwa sheria katika utekelezaji wa mradi huo  

Na Makangury

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • ‎JAMII YAHIMIZWA KULINDA HAKI ZA WATOTO

    June 16, 2025
  • Maadhimisho ya Mtoto wa Afrika Mbinga Mji kufanyika kata ya Kitanda

    June 13, 2025
  • Mbinga Mji Yatoa Mafunzo kwa Walengwa wa Mikopo 10%

    June 11, 2025
  • Sikukuu Njema ya EID AL ADHA

    June 07, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.