• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MBINGA MJI KUPOKEA MWENGE JUNI 13

Tarehe ya kuwekwa: May 11th, 2024


Na Alex Nelson Malanga


Afisa Habari---Mbinga Mji


Mbinga.  Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kutua katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga, Mkoa wa Ruvuma Juni 13 mwaka huu na kushuhudiwa na watu zaidi ya 2,000.


Mratibu msaidizi wa Mwenge kwa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Bw. Condrad Adam Kawonga alisema: “tumetoa mialiko kwa wadau kutoka makundi mbalimbali.”


Alisema Mbinga Mji itaupokea Mwenge kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa kabla ya kuukabidhi kwa Manispaa ya Songea siku inayofuata yaani Juni 14.


Kwa Mbinga Mji, Mwenge utapokelewa katika kijiji cha Mhekela, kata ya Kilimani, kabla ya  kukabidhiwa kwa Manispaa ya Songea, mtaa wa  Likuyufusi Juni 14.


Kimkoa, mkoa wa Ruvuma unatarajia kupokea Mwenge wa Uhuru Juni 8 kutoka Mkoa wa Mtwara na kuukimbiza katika Halmashauri zake zote nane kabla ya kuukabidhi kwa Mkoa wa Njombe Juni 16, 2024.


Mwenge huo ambao kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni ‘Tunza mazingira na shiriki uchaguzi wa serikali za mitaa kwa ujenzi wa Taifa endelevu’, utapokelewa katika kijiji cha Sauti Moja kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru.


Kwa mwaka huu, Mwenge wa Uhuru ulizinduliwa Aprili 2, 2024 mkoani Kilimanjaro na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa.


 Kwa mara ya kwanza nchini Mwenge wa Uhuru uliwashwa mwaka 1961 na kupandishwa juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro na Luteni Kanali Alexander Nyirenda.


Siku hiyo, Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alisisitiza umuhimu wa kuijenga Tanzania yenye umoja, mshikamano na upendo miongoni mwa wananchi.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAPOKEZI YA FEDHA March 20, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE WA UHURU WAWASILI MKOA WA RUVUMA

    May 10, 2025
  • Karibu Mwenge wa Uhuru Halmashauri ya Mji wa Mbinga Tarehe 13 Mei 2025

    May 06, 2025
  • Huduma za Dawati la Msaada wa Kisheria Halmashauri ya Mji wa Mbinga

    May 05, 2025
  • JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WILAYA MBINGA YAOMBA HALMASHAURI YA MJI MBINGA KUBORESHA VIBANDA SOKO LA MISHENI

    April 28, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.