• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji Mbinga

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

Mfumo Mpya wa Tausi wa Ukusanyaji mapato, Utasaidia kupunguza Hoja za Mkaguzi wa Hesabu za Serikali katika Halmashauri zote Nchini

Tarehe ya kuwekwa: February 12th, 2023

 Wakurugengenzi Mkoani Ruvuma wa takiwa kuhakikisha wanasajili pos zote kwenye mfumo mpya wa Tausi  na makusanyo ya fedha zote zinapelekwe benki, rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa  Mbinga   Bi; Grace Quintine ambae pia ni Mwenyekiti wa Wakurugenzi Mkoani humo  alipokuwa akifunga Semina ya Mafunzo  ya Mfumo mpya wa ukusanyaji mapato uitwao Tausi

Bi Grace amesema mfumo huo ni rafiki kama alivyo ndege tausi ambapo kwa namna moja au nyingine utaweza kusaidia  kutatua chanagamoto za  ukusanyaji wa mapato sambamba na kupunguza hoja za Mkaguzi wa nje wa Hesabu za Serikali, hata hivyo amewataka Wakurugenzi kuwa tayari kuacha kutumia mfumo ule wa zamani wa LGRCIS ambapo awali mfumo huu umekuwa ukileta changamoto ya hoja ya Mkaguzi kwa  fedha ambazo hazija wekwa benki.

Kwa upande mwingine Bi Grace amemshukuru  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe; Samia Suluhu Hassani kwa kukubali kuletwa na kuruhusu kutumika kwa mfumo huo katika Halmashauri zote nchini, ambapo kwa sasa mfumo huo utaleta tija katika ukusanyaji wa mapato ya ndani. Amesema wahasibu sasa wanalo jukumu la kuwasimamia wakusanyaji mapato kupitia mfumo na kwamba makusanyo yote kuwekwa benki kabla hujaendelea na makusanyo mengine, kwa maana mfumo wa sasa hautakuruhusu kuendelea makusanyo mengine.

Akitoa neon la shukrani kwa niaba ya washiriki wa mafunzo hayo Mwekahazina Wilaya Songea Bi Hadija Boffu amesema wanaishukuru serikali kwa kupata mafunzo hayao kwa maana ya kujifunza mfumo mpya wa ukusanyaji mapatao Tausi  ambapo amesema mfumohuo utasaidia kupunguza changamoto walizo kuwa wakaizipata katika mfumo ule wa awali na kwenda kufanya kazi na kuutumia mfumo huo kukusanya kawa tija katika Halmashauri zao.

Na Makangury

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • NAIBU WAZIRI KWAGILWA ARIDHISHWA NA UJENZI WA BARABARA YA UTIRI, MBINGA MJI

    January 11, 2026
  • Kambi ya madaktari Bingwa wa Dkt Samia Suluhu Hassan yaendelea kutoa Huduma Halmashauri ya Mji Mbinga

    September 24, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • Tazama zote

Video

MKUU WA WILAYA YA MBINGA AHITIMISHA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Halmashauri ya Mji Mbinga

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki