• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji Mbinga

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MHE. KELVIN MAPUNDA; WATENDAJI KATA NA MADIWANI KASIMAMIENI MIRADI

Tarehe ya kuwekwa: September 2nd, 2024

Na Erasto George


Mbinga. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mhe. Kelvin Mapunda  amewataka watendaji kata kushirikiana na Madiwani kuendelea kusimamia miradi yote ili iweze kukamilika kwa wakati.


Mhe. Mapunda amesema Katika Halmashauri hiyo kuna miradi mbalimbali kama ya Ujenzi wa Zahanati, Madarasa na Ofisi.


“Waheshimiwa Madiwani tusiwaachie watendaji kata pekee yao tuungane nao pamoja na Wananchi kukamilisha miradi yote,” alisisitiza Mhe. Mapunda.


Ameongeza kuwa katika kikao cha kwanza cha baraza la madiwani mwaka 2024/25 kata zote zinatakiwa kuleta taarifa za utekelezaji wa miradi na changamoto zilizopo katika miradi hiyo.


“Jambo hili la kutoa taarifa za maendeleo ya miradi kila kata litaendelea  kila kikao cha baraza hadi pale tutakapofunga baraza la madiwani” alisema Mhe. Mapunda.

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • VIONGOZI WA MAJUKWAA YA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI WAPATIWA MAFUNZO KWA KATA 19 MBINGA MJI.

    January 21, 2026
  • MKURUGENZI MBINGA MJI APOKEA RIPOTI YA AWALI YA MAFUNZO NA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO

    January 19, 2026
  • PPRA KANDA YA KUSINI YAWAJENGEA UWEZO WATUMISHI MBINGA TC KUHUSU SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA

    January 19, 2026
  • MBINGA YAFUNGUA FURSA MPYA ZA UWEKEZAJI

    January 17, 2026
  • Tazama zote

Video

MKUU WA WILAYA YA MBINGA AHITIMISHA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Halmashauri ya Mji Mbinga

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki