• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji Mbinga

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MHE MAKORI ATUMA SALAMU KWA WEZI

Tarehe ya kuwekwa: July 31st, 2024



Na Alex Nelson Malanga


Afisa Habari----Mji Mbinga

 

Mbinga. Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe. Kisare Matiku Makori siku ya Jumatano (Julai 31) alitoa onyo kali kwa wananchi ambao wanajihusisha na vitendo vya uwizi wa mali za watu.   


Akizungumza katika kata ya Matarawe iliyopo katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mhe. Makori alisema katika siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la uwizi wa betri za gari, TV na magodoro.


“Badala ya kujishughulisha na shughuli halali za kiuchumi, baadhi ya watu wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya uwizi, hii haikubaliki hata kidogo,” alikemea Mhe. Makori wakati wa mkutano na wananchi wa Matarawe.


Aliongeza kwa kuonya na kutoa matumaini kwa wananchi: “Vyombo vya ulinzi na usalama vipo imara na tutadhibiti vitendo viovu ili wananchi waishi kwa amani.”


Mhe. Makori alisema tayari kiongozi wa genge la wezi na wapambe wake wamekamatwa kufuatia oparesheni ya jeshi la polisi na kwamba kama kuna mtu aliibiwa aende kituo cha polisi kutambua vitu vyake.


Akionya kuwa serikali ina mkono mrefu, aliwataka wananchi kuacha mara moja vitendo vya uwizi na badala yake wawekeze  nguvu kubwa zaidi katika shughuli za kilimo.


“Tumieni fursa ya Mbinga kuwa eneo ambalo karibu kila zao lina stawi vizuri,” alishauri huku akitaja baadhi ya mazao kama kahawa, parachichi, mahindi na maharage.

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MBINGA YAFUNGUA FURSA MPYA ZA UWEKEZAJI

    January 17, 2026
  • MKUU WA IDARA MAENDELEO YA JAMII AHAMASISHA VIKUNDI KUJISAJILI- MBINGA MJI

    January 15, 2026
  • MAFUNZO YA MFUMO WA MANUNUZI WA UMMA NA MATUMIZI YA MODULI MPYA KWENYE MFUMO WA NeST KWA MAKUNDI YA VIJANA, WANAWAKE, WAZEE, WATU WENYE ULEMAVU NA WAZABUNI

    January 15, 2026
  • NAIBU WAZIRI KWAGILWA ARIDHISHWA NA UJENZI WA BARABARA YA UTIRI, MBINGA MJI

    January 11, 2026
  • Tazama zote

Video

MKUU WA WILAYA YA MBINGA AHITIMISHA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Halmashauri ya Mji Mbinga

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki