• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

Mkurugenzi Halmashauri ya Mbinga Mji Asaini Mkataba wa Lishe

Tarehe ya kuwekwa: October 26th, 2022

Udumavu wa akili imeonekana ni adui  maradhi yanayo sababishwa na kutokuwa na lishe bora katika jamii inayo tuzunguka hususani kwa watoto walio chini ya miaka 5 ambapo mpaka sasa imefikia asilimia 41 katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga .

 Katika kusimamia na kukabiliana na chanagamoto hii Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassani amewakasimisha wakuu wa Mikoa na Wilaya kwa kusaini mikataba ya lishe, ambapo Halmashauri ya Mji wa Mbinga ni miongoni mwa Halmashauri nane zilizo saini nyongeza ya Mkataba wa lishe  kwa miaka mitano  inayoanzia Julai 2021 hadi Juni 2026.

Halmashauri imetenga kiasi cha Tsh milioni 23,971,000 kwa watoto 21,452 sawa na wastani wa  Tsh 1,117 kwa kila mtoto, ambapo fedha hizo zitatumika katika utekelezaji wa  afua mbalimbali za lishe katika kata,mitaa na vijiji vya Halmashauri hiyo

Akisaini mkataba huo na Mkurugenzi wa Halimashauri hiyo Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe Aziza Ally Mangosongo amaesema uwekaji saini mikataba hii kwa ngazi ya Halmashauri itasaidia katika utekelezaji wa afua za lishe katika kata mitaa na vijiji kubaini changamoto za udumavu kwa watoto  sambamba na upatikanaji wa taarifa sahihi za kiafya katika Halmashauri hiyo 

Kwa upande wake Mkurugebzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Bi Grace quintine amewasistiza maafisa lishe na watendaji ambao wame saini mikataba hiyo kuendelea kutoa elimu juu ya matumizi ya chumvi na namna ya kuhifadhi ili kuepuka kupoteza madini joto ambayo husaidia lishe na afya katika Mwili wa mwanadamu .

Uwekaji saini wa Mikataba hiyo umeenda sambamba na maadhimisho ya lishe katika Halmshauri hiyo ambapo maadhimisho hayo yamefanyika kata ya kitanda kijiji cha miembeni, wakati  Mkuu wa Wilaya akiwa mgeni rasmi katika maadhimisho hayo. Mhe; Aziza ameendelea kuwasistiza wananchi kubadili mitindo ya amaisha kwa kuzingatia lishe bora, wakina mama kunyonyesha watoto kwa kufuata kanuni za afya, sambamba na  kushiriki katika kufanya mazoezi 

Akitoa taarifa ya Lishe katika maadhimisho hayo Afisa Lishe  wa Halmashauri hiyo Bi sheila Mbike amesema pamoja na changamoto ya maadui maradhi ya Udumavu wa akaili na magonjwa yasiyo  ya kuambukiza elimu bado inaendela kutolewa katika ngazi za kata mitaa  na vijiji hivyo kuwaomba wananchi kuzingatia ushauri unaotolewa na wataalamu wa afya,kubadili mitindo ya maisha kwa kuzingatia lishe bora ambapo kwa sasa udumavu umefikia slimia 41 kwa watoto chini ya miaka mitano.

Na Makangury

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.