English
  • English
  • Kiswahili
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MKURUGENZI MBINGATC AFANYA VIZURI USIMAMIZI MIRADI YA MAENDELEO

Tarehe ya kuwekwa: August 16th, 2021

Kamati ya fedha  Halmashauri ya Mji wa Mbinga yalidhika ukaguzi  miradi ya maendeleo na kutoa pongezi  kwa  Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Bi Grace S. Quintine  kwa usimamizi mzuri wa utekelezaji wa  miradi hiyo. Baadhi ya miradi iliyoweza kutembelewa ni  Ujenzi wa madarasa na ofisi Maabara katika shule za sekondari pamoja na Zahanati katika kata tofauti.  Akitoa tathmini mara baada ya ukaguzi Mwenyekiti wa kamati hiyo Ndg Kelvin Mapunda amesema, pamoja na changamoto zilizoweza kujitokeza zikiwemo za  mifumo , mfumuko wa bei  kwa baadhi ya vifaa, bado maendeleo ya miradi hiyo ni mazuri ukilinganisha ubora na thamani ya fedha zilizo tumika ( Value for Money ) hivyo kamati imemshukuru sana Mkurugenzi pamoja na timu yake ya wataalamu kwa usimamizi mzuri na kubana matumizi .

Kwa upande mwingine wakuu wa idara wamesisitiza na kuwaomba wajume wa kamati hiyo amabao  ni madiwani  kuendendelea kuwahamasisha wananchi katika kata zao kushiriki kwa kujitoa kuchangia na kuibua miradi mingine, ili kwa ngazi ya Halmashauri waweze kumalizia miradi hiyo kwa mapato ya ndani.  Atahivyo  Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo amewapongeza wananchi  wa kata ya Masumuni kwa kujitoa kuchangia miradi inayoendelea katika kata yao hivyo kuwahaidi kuwapa  mifuko ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa choo katika zahanati hiyo.  Aidha Kamati hiyo imemuagiza Afisa Elimu Sekondari kuratibu Wakuu wa shule zinazojenga Maabara,  Kagugu,Lamata na Mbambi kutenmbelea Shule ya Sekondari Luhuwiko ili kuweza kujifunza na kushauriana katika Ujenzi wa maabara unaoendelea  katika shule hizo.

Na Makangury     

Matangazo

  • TANGAZO LA MAPOKEZI YA FEDHA March 20, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Karibu Mwenge wa Uhuru Halmashauri ya Mji wa Mbinga Tarehe 13 Mei 2025

    May 06, 2025
  • Huduma za Dawati la Msaada wa Kisheria Halmashauri ya Mji wa Mbinga

    May 05, 2025
  • JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WILAYA MBINGA YAOMBA HALMASHAURI YA MJI MBINGA KUBORESHA VIBANDA SOKO LA MISHENI

    April 28, 2025
  • TRA WILAYA YA MBINGA YAVUKA MALENGO MAKUSANYO MAPATO KWA MWAKA WA FEDHA JULAI 2024 HADI MACHI 2025

    April 24, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.