• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MKURUGENZI WA MJI WA MBINGA AWAPA FURSA WAKULIMA WA TANGAWIZI MBINGA MJINI

Tarehe ya kuwekwa: November 3rd, 2017

Akizungumza mbele ya wawakilishi wa Vikundi vya wakulima Ofisini kwake, Mkurugenzi wa Mji wa Mbinga Ndg. Robert Kadaso Mageni amewaeleza wakulima wa Mji wa Mbinga kuwa Kilimo cha Tangawizi ni kilimo mbadala ambacho kinaweza kuwakomboa kiuchumi. Wakulima hao wakiongozwa na Afisa Kilimo wa Mji Ndg. Maganga Ngahy wanatarajia kuondoka alfajiri ya siku ya tarehe 4/11/2017 kuelekea Wilayani Madaba ikiwa ni ziara ya siku mbili kwaajili ya kujifunza namna ya ulimaji bora wa zao la Tangawizi na ufugaji wa Kuku wa Asili.

Ndg. Mageni amesema kuwa wakati umefika kwa Wanambinga kuacha kutegemea zao la Mahindi pekee kama zao la chakula na biashara bali kwa msimu wa mahindi unapopita basi wajishughulishe na kilimo mbadala cha Tangawizi na Ufugaji wa Kuku. Pia aliongeza kuwa Halmashauri yake ina mipango mizuri ya kuwainua wakulima wake kupitia fursa mbalimbali kama vile ufugaji wa Kuku ambapo amewaahidi kuwaletea Mashine bora za kutotoa Vifaranga vya kuku. Kupitia Mashine hizo wakulima watanufaika na ufugaji bora na wa kisasa wa Kuku na hivyo kuwaongezea kipato.

Akiongea kwaniaba ya wanavikundi, Mkulima Charles Komba wa kikundi cha TUPENDANE amemshukuru Mkurugenzi wa Mji wa Mbinga Ndg. Robert K. Mageni kwa jitihada zake za kuwakomboa wakulima na pia kwa kuonyesha nia ya dhati ya kuwasaidia vifaa na mikopo kwaajili ya kuendesha kilimo cha kisasa.

“..Sisi kama wakulima tunakushukuru sana Mkurugenzi wetu wa Mji kwa kutuonyesha kutujali wakulima wako na tunakuahidi elimu tutakayoipata huko Madaba tutakuja kuitumia vizuri ili tuweze fikia malengo tuliyokusudia..” Alisema Mkulima huyo.

Afisa kilimo wa Mji Ndg. Ngahy Maganga amesema kuwa idara yake itahakikisha inashirikiana na wakulima bega kwa bega katika jitihada za kukuza kilimo cha Tangawizi. Wanufaika wakubwa wa kilimo hicho ni wananchi wa Kata za Kikolo, Mepai, Kitanda na Kihungu ambapo uchumi wa eneo unatarajia kukua kwa kasi. Jumla ya Vikundi nane vinatarajia kujifunza kilimo bora cha Tangawizi na ufugaji bora wa Kuku wa Asili.

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Sikukuu Njema ya EID AL ADHA

    June 07, 2025
  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.