• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MKUU WA MKOA WA RUVUMA APONGEZA UANDAAJI WA MITI KATIKA KITALU CHA PANDA MITI KIBIASHARA MBINGA MJINI

Tarehe ya kuwekwa: October 19th, 2017

Katika ziara yake Wilayani Mbinga leo tarehe 18 Oktoba 2017, Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Ndg. Binilith Mahenge alitembelea na kukagua kitalu cha miti kilichopo Kihaha Mbinga Mjini. Akizungumza baada ya kukagua kitalu hicho alisema kuwa amefurahishwa na amempongeza Mkurugenzi wa Mji wa Mbinga Ndg. Robert K. Mageni kwa usimamizi mzuri wa uandaaji wa kitalu hicho cha Panda Miti Kibiashara na alisisitiza kuwa kwakuwa uandaaji umekuwa mzuri na kitalu kimependeza basi hata itakapofikia hatua ya upandaji wa miti hiyo usimamizi unatakiwa kuwa mzuri pia ili miti iliyokusudiwa kupandwa ipandwe yote kikamilifu.

Mradi huu wa panda miti kibiashara ulianzishwa kwa ufadhili wa mfuko wa Misitu Tanzania na ‘Private Forestry Program’ (PFP) au Panda Miti Kibiashara. PFP ni mradi ulioanzishwa kwa ufadhili wa Nchi ya Finland kwa kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii.

Katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mradi wa Panda Miti Kibiashara umewezesha uzalishaji wa miche ya miti milioni moja (1,000,000) ambapo miche hiyo itapandwa katika hifadhi ya Milima Lihumbe uliopo Mpakani mwa Mbangamao na Mpepai. Miti hiyo itapandwa kupitia Jumuiya za Wapanda Miti yaani ‘Tree Griowers Association’ (TGA’s) zitakazotumia block za Lihumbe kupanda miti hiyo. Jumla ya miche 1,000,000 imeandaliwa kwaajili hiyo.

Aidha Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF) umefadhili /umewezesha uandaaji wa miche 200,000 (miambili elfu) itakayopandwa katika Mashamba ya Halmashauri ya Mji yaliyopo Mbambi na Ugano. Hii ni awamu ya kwanza ya utekelezaji wa Mradi kwani jumla ya Tshs. 38,000,000/= zitatolewa na Mfuko Misitu Tanzania ambapo kwa awamu ya kwanza tayari kiasi cha Tshs. 15,200,000/= kimetumika katika awamu hii ya kwanza ya uandaaji wa miche katika kitalu.

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.