• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MKUU WA WILAYA YA MBINGA AITAKA HALMASHAURI YA MJI WA MBINGA KUBUNI VYANZO VIPYA VYA MAPATO

Tarehe ya kuwekwa: February 9th, 2024


Na Alex Nelson Malanga


Afisa Habari…Mbinga TC


Mbinga. Mkuu wa Wilaya ya Mbinga ameutaka uongozi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga kubuni vyanzo vipya vya mapato ili kutunisha mfuko wa Halmashauri hiyo.


Wito huo ulitolewa siku ya Alhamisi, Februari 8, 2024 wakati wa Mkutano wa Baraza la Madiwani---Robo ya Pili (Oktoba-Disemba) uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Oddo Mwisho uliopo katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga.


“Tubuni vyanzo vipya vya mapato na vilivyopo tuvilinde na tuvisimamie vizuri ili tuongeze mapato yetu ya ndani,” aliagiza Mhe. Aziza.


Aliongeza: “Mapato ni roho yetu, bila mapato Halmashauri haiwezi kufanya kazi.”


Kwa mwaka wa Fedha uliopita (2022/23) Halmashauri ya Mji wa Mbinga ilikusanya Shilingi bilioni 2.128 kama mapato ya ndani.


Kati ya kiasi hicho Shilingi bilioni 1.564 ni mapato yasiyolindwa (yanakusanywa na Halmashauri ya Mji wa Mbinga, makao makuu) na Shilingi milioni 564 (bilioni 0.564) ni mapato lindwa (yanakusanywa na vituo mbalimbali vya Halmashauri).


Ili kuongeza ukusanyaji wa mapato, pia Mkuu wa Wilaya aliutaka uongozi wa Halmashauri kuziba mianya ya upigaji pesa za serikali.


“Kuna baadhi ya watumishi wanachukua pesa mbichi…wanatia mfukoni badala ya kuingiza kwenye mfumo, hii haikubaliki,” alisema Bi. Aziza.


Wakizungumza baada ya Mkuu wa Wilaya kutoa maagizo, Mwenyeki wa Halmashauri Mhe. Kelvin Mapunda na Mkurugenzi wa Halmashauri Bi. Amina Seif walisema watajitahidi kadri wawezavyo kuhakikisha wanaongeza ukusanyaji wa mapato.


Mhe. Mapunda alisema: "lazima tuongeze kasi ya ukusanyaji mapato ili kufikia na hata kuvuka lengo la ukusanyaji wa mapato."


Kwa upande wake Bi. Amina, alisema kwa mwaka huu wa fedha (2023/24), Halmashauri inatarajia kukusanya Shilingi bilioni 2.476 kama mapato ya ndani.


Kati ya kiasi hicho, Shilingi bilioni 1.88 ni mapato yasiyolindwa na kiasi kinachobakia ni mapato lindwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJIBU YA USAILI WA UDEREVA MAFUNZO KWA VITENDO June 20, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Wajasiriamali Mbinga Mji washiriki Maonesho ya Sabasaba

    July 08, 2025
  • Mazoezi ya Viungo Mbinga Tc

    July 08, 2025
  • Kheri ya Sikukuu ya Sabasaba

    July 07, 2025
  • Mkurugenzi Halmashauri ya Mbinga Mji atembelea Maonesho ya Sabasaba Jijini Dar es salaam

    July 05, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.