• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MPANGO WA TAIFA WA UTOAJI KINGATIBA KWA MAGONJWA YA KICHOCHO MINYOOTUMBO NA USUBI WAFIKIA ASILIMIA 97.5 HALMASHAURI YA MJI WA MBINGA

Tarehe ya kuwekwa: March 28th, 2025

Mkoa wa Ruvuma ni miongoni mwa Mikoa nchini Tanzania ambao kupitia Wizra ya Afya, unatekeleza mpango wa Taifa wa kudhibiti Magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele NTD (Neglected Tropcal Diseases). Mjumuiko wa magonjwa 21 tofauti yanayo patikana katika ukanda wa kitropiki katika nchi za Afrika,Asia na Amerika ya kusini uhathiri zaidi jamii za kimaskini zenye hali duni ya usafi na zinazoishi kwenye mazingira amabayo yanamaambukizi ya magonjwa.

Magonjwa hayo yanaongeza umaskini na udumavu na kusababisha ulemavu wa akudumu hivyo kupelekea unyanyapaa katika jamii. Akitoa taarifa za utoaji kingatiba za magonjwa hayo  kwa Mkuu wa Wilaya  Afisa Msimamizi Msaidizi wa progamu hiyo  Bi Hadija C. Mitanga amesema magonjwa ambayo yapo katika mpango huo nchini Tanzaia  ni Trakoma, kichocho,Minyoo tumbo , Matende, Mabusha na Ugonjwa wa Usubi. Kwa  Mkoa wa Ruvuma mpango wa Taifa wa kutoa kingatiba umalenga magonjwa ya kichocho, Minyootumbo na Usubi.

“katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga walengwa ni watoto wenye umri wa miaka 5 hadi 14 ambapo mpaka sasa utekelezaji wa kutoa kingatiba kwa walengwa hao, umefanyika huku wakiweza kuwafikia watoto 35,937 kati ya watoto 36,842 sawa na aslimia 97.5” alisema Bi Hadija . Kumeza kingatiba kila zinapo tolewa, Matumizi sahii ya vyoo kwa haja kubwa na ndogo, kuosha matunda na kuivisha mboga vizuri sambamba na kuepuka kutembea bila viatu, imeelezwa kuwa, zimekuwa ni njia za kuweza kudhibiti magonjwa ya kichocho na Minyoo tumbo katika jamii.

Kwa upande mwingine, utekelezaji wa Afua za lishe Halmashuri ya Mji wa Mbinga imeendela kutoa mafunzo ya lishe kwa vionozi wa dini, ili kuwajengea uwezo ya maswala ya Msingi yanayo husu lishe hususani makundi matano ya vyakula, kazi zake mwilini, athari za upungufu wa virutubishi mwilini na namna ya kumtambua mtu mwenye changamoto hiyo. Ata hivyo kumekuepo na viashiria kwa abaadhi ya wanafunzi shuleni katika kata  kutopata chakula, changamoto inayotokana na uchangiaji mdogo wa chakula katika shule hizo, watoto waliozaliwa na uzito mdogo chini ya kilo mbili na nusu na kuwatembelea wanawake wajawazito na watoto chini ya miaka nitano.

Maadhimisho ya utekelezaji wa afua za lishe katika kata pamoja na upimaji wa watoto utoaji wa elimu ya lishe katika kwa njia ya redio ili kuweza kuwafikia kundi kubwa na kufikisha ujumbe kwa jamii

Akitoa mapendekezo na maelekezo  kwa watendaji wa kata kutokana na chanagamoto hizo kaimu Mkuu wa Wilayaa ambae ni katibu tawala wa Wilaya Mhe. Pendo Daniel amewataka watendaji wakishirikiana na wakuu wa shule kukaa na kamati za chakula  mashuleni na wazazi ilikutatua chanagamoto za uchangiaji wa chakula mashuleni. Waalimu wakuu na waalimu wa afya kusimamia usafi wa vyoo, Stoo za chakula na majiko ya shule Sambamba na uhuwishaji wa clabu za Afya mashuleni.  

Na Makangulya                  

Matangazo

  • TANGAZO LA MAPOKEZI YA FEDHA March 20, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • MAAFISA HABARI WATAKIWA KUTOA TAARIFA SAHIHI KWA WANANCHI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.