• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MWENGE WA UHURU WATUA MBINGA MJI

Tarehe ya kuwekwa: June 13th, 2024


Na Alex Nelson Malanga


Afisa Habari----Mbinga Mji


Mbinga. Ni vifijo na nderemo kwa wakazi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga kufuatia kuwasili kwa Mwenge wa Uhuru katika Halmashauri yao mapema hii leo.


 Mwenge wa Uhuru uliwasili Mbinga Mji leo majira ya saa 2.37 asubuhi na aliyeupokea ni Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Kisare Matiku Makori.  


Mhe. Makori alikabidhiwa Mwenge huo na Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe. Peres Magiri  mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Mhekela kilichopo katika kata ya Kilimani.


Mwenge wa Uhuru utatembelea miradi nane.

Miradi hiyo ni ule wa Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Mbinga unaohusisha ujenzi wa jengo la wagonjwa wa nje (OPD), upasuaji na maabara, na mradi wa ujenzi wa madarasa mawili ya shule ya Msingi Myangayanga.


Miradi mingine ni ule wa maji uliopo kijiji cha Utiri, shamba la mbegu bora za miti lililopo kata ya Utiri, pamoja na Kiwanda cha kukoboa kahawa (MCCCO)

Pia timu ya Mwenge wa Uhuru itakagua shughuli za lishe katika kata ya Muyangayanga, itagawa vyandarua kwa wazee, mama wajawazito na mama wenye watoto chini ya miaka mitano pamoja na kuzindua klabu ya wapinga rushwa iliyopo shule ya sekondari Mbinga.

Katika muktadha huo, Mwenge utakimbizwa umbali wa kilometa 140.


Kwa mwaka huu, Mwenge wa Uhuru ulizinduliwa Aprili 2, 2024 mkoani Kilimanjaro na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa.


 Kwa mara ya kwanza nchini Mwenge wa Uhuru uliwashwa mwaka 1961 na kupandishwa juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro na Luteni Kanali Alexander Nyirenda.


Siku hiyo, Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alisisitiza umuhimu wa kuijenga Tanzania yenye umoja, mshikamano na upendo miongoni mwa 

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJIBU YA USAILI WA UDEREVA MAFUNZO KWA VITENDO June 20, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MBINGA MJI APATIWA TUZO

    June 20, 2025
  • MKUTANO WA JUKWAA LA MWAKA LA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WILAYA YA MBINGA

    June 20, 2025
  • ‎MBINGA MJI YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 19, 2025
  • ‎JAMII YAHIMIZWA KULINDA HAKI ZA WATOTO

    June 16, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.