• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MWENGE WATEMBELEA MIRADI 8 YA SH2.1 BILIONI

Tarehe ya kuwekwa: June 13th, 2024


Na Alex Nelson Malanga


Afisa Habari---Mbinga Mji


Mbinga. Mwenge wa Uhuru mwaka 2024 umetembelea miradi nane yenye thamani ya shilingi bilioni 2.1 katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga, imebainishwa.



Kati ya miradi hiyo iliyotembelewa Juni 13, 2024, miwili ilifunguliwa, mingine miwili ilikaguliwa na mmoja uliwekewa jiwe la msingi.


Miradi iliyofunguliwa, pamoja na gharama kwenye mabano ni, ule wa maji uliopo kijiji cha Utiri, kata ya Utiri (Sh421.423 milioni) pamoja na ule wa madarasa mawili ya shule ya Msingi Myangayanga(Sh48 milioni).



Kwa upande wa miradi iliyokaguliwa ni ule wa Kiwanda cha kukoboa kahawa---MCCCO (Sh725.273 milioni) pamoja na ule wa shamba la mbegu bora za miti lililopo kata ya Utiri (Sh27.2 milioni).


Ukizungumzia mradi uliowekewa jiwe la msingi, si mwingine bali, ni ule wa Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Mbinga unaohusisha ujenzi wa jengo la wagonjwa wa nje (OPD), upasuaji na maabara (Sh900 milioni).  


Pia timu ya Mwenge wa Uhuru ilikagua shughuli za lishe katika kata ya Muyangayanga, iligawa vyandarua kwa wazee, mama wajawazito, mama wenye watoto chini ya miaka mitano na waathirika wa Ukimwi, pamoja na kuzindua klabu ya wapinga rushwa iliyopo shule ya sekondari Mbinga.




Mwenge wa Uhuru uliwasili Mbinga Mji leo majira ya saa 2.37 asubuhi na aliyeupokea ni Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Kisare Matiku Makori.  


Mhe. Makori alikabidhiwa Mwenge huo na Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe. Peres Magiri  mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Mhekela kilichopo kata ya Kilimani.



Katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga, Mwenge utakimbizwa umbali wa kilometa 140 na  timu ya watu sita kwa ngazi ya Taifa, ikiongozwa na Bw. Godfrey Eliakimu Mnzava, kabla ya kukabidhiwa kwa Manispaa ya Songea Juni 14, 2024.



Kwa mwaka huu, Mwenge wa Uhuru ulizinduliwa Aprili 2, 2024 mkoani Kilimanjaro na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJIBU YA USAILI WA UDEREVA MAFUNZO KWA VITENDO June 20, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Wajasiriamali Mbinga Mji washiriki Maonesho ya Sabasaba

    July 08, 2025
  • Mazoezi ya Viungo Mbinga Tc

    July 08, 2025
  • Kheri ya Sikukuu ya Sabasaba

    July 07, 2025
  • Mkurugenzi Halmashauri ya Mbinga Mji atembelea Maonesho ya Sabasaba Jijini Dar es salaam

    July 05, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.