• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

RC RUVUMA AONGOZA ZOEZI LA KUAGA MIILI 6 YA AJALI YA GARI

Tarehe ya kuwekwa: January 3rd, 2025


Na Erasto George


Mbinga. Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amewaongoza waombolezaji kuaga miili ya marehemu waliopoteza maisha katika ajali ya gari lililogonga gema na kuwaka moto eneo la kijiji cha chunya  wilaya ya  Mbinga tarehe 28.12.2024.

 

Zoezi hilo la kuaga miili hiyo limefanyika katika uwanja wa michezo wa CCM Mbinga, mapema leo terehe 03.01. 2025.


Akizungumza katika tukio hilo Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amewaomba waombolezaji waweze kupokea salamu za pole kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia suluhu Hassan, Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango pamoja na Waziri mkuu Kassim Majaliwa.


Aidha, Mkuu wa mkoa wa Ruvuma amewapa pole wafiwa wote walipototeza ndugu zao katika ajali hiyo.

 

“Tutumie msiba huu kutafakali maneno na maandiko yaliyotolewa na viongozi wetu wa dini, na kujindaa kwa kusali na kufanya toba” alisema Mkuu wa mkoa wa Ruvuma.


Nae Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe. Kisare Matiku Makori  ametoa pole kwa wafiwa wote ambao wamepoteza ndugu zao katika wakati ambao haukutarajiwa na mazingira ambayo yanayoumiza sana.


ametoa shukurani zake kwa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Ruvuma kwa  jinsi walivyoweza kuratibu jambo hili kwa maelekezo yote na kufika siku ya leo kuwaaga wapendwa wetu. 


 “Naweza kuhisi maumivu waliyonayo kwasababu wengine wameondokewa na  baba, mama, watoto na wangine wake naomba neno la Mungu likawape faraja” alisema Mhe. Makori.

 

Kwa upande wa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mhe. Kelvin Mapunda amewapa pole wafiwa wote nakuwaombea kwa Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu wanachopitia cha kuwapoteza wapendwa wao.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJIBU YA USAILI WA UDEREVA MAFUNZO KWA VITENDO June 20, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MBINGA MJI APATIWA TUZO

    June 20, 2025
  • MKUTANO WA JUKWAA LA MWAKA LA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WILAYA YA MBINGA

    June 20, 2025
  • ‎MBINGA MJI YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 19, 2025
  • ‎JAMII YAHIMIZWA KULINDA HAKI ZA WATOTO

    June 16, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.