• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

Rc Ruvuma; Tusiishie kupanda miti tu tupande miti na kuitunza ili iwe na tija katika miji yetu

Tarehe ya kuwekwa: January 13th, 2023

Upandaji miti ni jambo la kila mwanachi  katika jamii inayo tuzunguka ili kuweza kuyatunza mazingira, kuongeza  kipatao na kukuza uchumi wa nchi. Ayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe Aziza Ally Mangosongo alipokuwa akitoa taarifa ya hali ya misitu,Mashamba ya Miti na upandiji wa miti katika kutunza mazingira kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe: Kanali Laban Elias Thomas mara baada ya kuwasili katika Shule ya sekondari Luhuwiko ilioko  kata ya Luhuwiko Halmashauri ya Mji wa Mbinga kwa lengo la kupanda miti

Mhe; Aziza amesema Halmashauri zote mbili zina misitu ya hifadhi ya asili mitano na mashamba ya miti yapatayo tisa,Sambamba na uwepo wa mashamba na hifadhi ya misitu ya asili  katika swalazima la ulinzi wa misitu na vyanzo vya maji, Wilaya wakishirikiana na TFS wameweka mikakati ya kuwaondoa wavamizi katika  hifadhi za misitu hususani  Amani Mkolo na katika vyanzo vya maji ikiwa ni maagizo ya mawaziri wa kiseckta katika kulinda na kuhifadhi mazingira.

“Zoezi la upandji miti ni mwendelezo wa maagizo yako ambayo uliyatoa siku ya uzinduzi wa  upandaji miti Kimkoa  tarehe 2/1/2023 hata hivyo upandi huu wa miti katika Shule ya Luhuwiko ni kielelezo cha upandaji miti katika Wilaya ya Mbinga ambao utaenda sambamba na ugawaji wa miche ya miti ya kibiashara na miche rafiki ya maji  zaidi ya Laki mbili” alisema Mhe; Aziza Ally Mangosongo Mkuu wa Wilaya ya Mbinga. 

Na Makangury

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.