• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

RC ; Wakuu wa Wilaya Ruvuma, msipoteze muda kuwatafuta wanafunzi, kamata Wazazi watoe maelezo

Tarehe ya kuwekwa: January 12th, 2023

Tathmini ya maudhulio ya wanafunzi waliotakiwa kuripoti katika shule za msingi na sekondari katika Wilaya ya Mbinga hayaridhishi kwa kuwa na idadi ndogo ya wanafunzi walio repoti katika shule hizo.Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe; Kanali Laban Elias Thomas mara baada ya kupokea taarifa ya elimu alipofika katika shule ya Sekondari Luhuwiko ilioko kata ya Luhuwiko Halmshauri ya  Mji wa Mbinga kwa lengo la kupanda miti.

Akitoa taarifa kwa Mkuu wa Mkoa Mhe; Aziza Ally Mangosongo amesema kumekuwa na changamaoto ya maudhulio kwa wanafunzi walio tarajiwa kuripoti katika shule za Msingi na Sekondari ambapo kwa shule za Sekondari changamoto hiyo imekuwa kwa kufikia  kiasi cha asilimia 14 hali iliyo pelekea Mkuu huyo wa Wilaya kuwaagiza Wakuu wa shule kutisha vikao na wazazi ili kuweza kujua kwa kina changamoto zinazo wakabili wazazi hao na kuzitatua .

Akizungumza na wanafunzi hao Mkuu huyo wa  Mkoa amewahasa wanafunzi kuzingatia masomo na kujiepusha na tamaa zisizo za lazima , haswa kwa wasichana kuwataka wavulana kuachana na jukumu la kufanya kazi na biashara  kwakua jukumu hilo ni la wazazi wao .Mhe Labani ametoa maelekezo kwa Wkuu wa Wilaya Mkoani humo  yakwamba usitumike muda mwingi kuongea na wazazi, kwamba mzazi atakae bainika kwenda kinyume na maaagizo ya kwamba wanafunzi anatakiwa kuripoti shuleni, hatakama hawana sere za shule wachukuliwe hatua maramoja .  

Na Makangury    

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.