English
  • English
  • Kiswahili
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

Shule sita Halmashauri ya Mji wa Mbinga za jaza Mikataba kunufaika na ruzuku ya Mfuko wa Misitu Tanzania TaFF

Tarehe ya kuwekwa: March 23rd, 2023

Zaidi ya shule tano zilizopo ndani ya  Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mkoani Ruvuma zimepata semina na kusaini mikataba ya miradi ya  upandiji wa miti na uanzishwaji wa vitalu vya miti, miradi ambayo ruzuku inatolewa na Mfuko wa misitu Tanzania,(TaFF) Taasisi ambayo  ipo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii

Mafunzo hayo yametolewa na Katbu tawala wa Mfuko wa Misitu Tanzania  Dr; Tuli Msuya, katika Ukumbi wa Oddo Mwisho Halmashauri ya Mji wa Mbinga ambapo amaesema ili waweze kupata ruzuku hiyo wadau lazima wawe na uwezo wa kutekeleza miradi  ya uhifadhi na wao kama walengwa wa miradi hiyo ruzuku itawasaidia  katika utekelezaji wa miradi hiyo .

DR. Msuya amesema miradi hiyo ni chanzo cha uhakika na endelevu  kwa ajili ya kugharamia, kuwezesha na uhifadhi wa maliyasili ya misitu nchini Tanzania. shule ya msingi Masasi, shule ya Chemka shule ya kitanda , Mkwaya, Makunguru pamoja na shule ya sekondari Mbangamao ni miongoni mwa shule zitakazo nufaika na miradi ya uanzilishwaji wa  vitaru vya miti itakayo pandwa  katika shule zilizopo ndani ya  Halmshauri ya Mji wa Mbinga,

Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Mji wa Mbinga ambae pia ni Afisa elimu sekondari Mr Stuart Kuziwa ameshukuru kwa semina na kuwajengea uwezo wa namna ya  uperembaji na kutekeleza miradi hiyo kwa  kujaza mikataba kwa walengwa wa miradi hiyo. Amesema sambamba na kujaza mikataba hiyo shughuli iliyobaki ni utekelezaji wa miradi na kuahidi kuasimamia ipasavyo ili kutimiza lengo lilo kusudiwa      

Na Makangury        

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJIBU YA USAILI WA UDEREVA MAFUNZO KWA VITENDO June 20, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MBINGA MJI APATIWA TUZO

    June 20, 2025
  • MKUTANO WA JUKWAA LA MWAKA LA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WILAYA YA MBINGA

    June 20, 2025
  • ‎MBINGA MJI YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 19, 2025
  • ‎JAMII YAHIMIZWA KULINDA HAKI ZA WATOTO

    June 16, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.