• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

Utekelezaji wa Miradi Mbinga mjini waanza kwa kasi nzuri

Tarehe ya kuwekwa: March 28th, 2018

Halmashauri ya Mji wa Mbinga kwa sasa inatekeleza Miradi Mikubwa Mitatu ambayo ni Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Ofisi za Halmashauri ya Mji, Mradi wa Maji Kijiji cha Kagugu na Kijiji cha Maganagana. Miradi hiyo itagharimu jumla ya Tshs 3,835,299,117.00/= (Bilioni Tatu Milioni Mianane Thelasini na Tano Laki Mbili Tisini na Tisa Mia Moja Kumi na Saba na Senti Sifuri).

Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Halmashauri (Jengo la Utawala) utagharimu jumla ya Tshs. 2,983,122,246.00/= na Ujenzi huo unafanywa na Mkandarasi ambaye ni JESHI LA KUJENGA TAIFA IDARA YA UJENZI S.L.P 215 MTWARA atakayefanya kazi hiyo ndani ya Miezi Kumi na Mbili (12) kama ilivyosainiwa kwenye Mkataba Tarehe 08,February 2018 na Mkandarasi anayesimamia Ujenzi huo ni BUREAU FOR INDUSTRIAL COOPERATION S.L.P 35131 DAR ES SALAAM. Ujenzi upo katika Hatua ya Awali ya Usafishaji wa Eneo la Ujenzi, usogezaji wa Malighafi mbalimbali za Ujenzi kama Vile Kokoto, Mchanga, Nondo, Simenti n.k. Wananchi wa Mji wa Mbinga wategemee kupata huduma Bora na za Haraka za Kiutawala mara tu Mradi utakapokamilika kwani kwa kujengwa Jengo hilo, Takribani Ofisi zaidi ya 19 za Idara na Vitengo  zitapatikana pamoja na hivyo itasaidia kuondoa usumbufu wa kutembea kwenda Ofisi za Idara mbalimbali ambazo kwasasa hazipo sehemu moja kutokana na ufinyu wa Ofisi zilizopo eneo la Utawala.

Halmashauri pia kwa kujali mahitaji ya Wananchi wake inatekeleza Ujenzi wa Miundombinu ya Maji Kijiji cha Kagugu na Maganangana ambapo Mradi wa Kagugu utagharimu Tshs 493,059,575.00/= na Mkandarasi anayefanya kazi hiyo ni OVANS CONSTRUCTION CO LTD S.L.P 170, MBINGA ikiwa Mradi wa Maji Kijiji cha Maganagana utagharimu Jumla ya Tshs 246,045,240.00/= na kazi hiyo inafanywa na Mkandarasi SIVIKWA COMPANY LTD S.L.P 532, MBINGA. Miradi hiyo ya Maji kwa Ujumla inatarajiwa kukamilika ndani kipindi cha Miezi Mitatu Toka Mikataba Iiposainiwa Tarehe 07 Machi 2018. Hatua iliyofikiwa na Miradi hiyo kwasasa ni pamoja na Usafishaji wa Maeneo ya Ujenzi wa Matenki, Kuandaa Kokoto, na Ufyatuaji wa Tofari.

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.