• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

UZALISHAJI WA ASALI HALMASHAURI YA MJI WA MBINGA WAPAA KWA ASILIMIA 5.1

Tarehe ya kuwekwa: November 8th, 2023



Na Erasto George


Mbinga. Uvunaji wa asali katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga uliongezeka kwa asilimia 5.1 mwaka 2022/23 ikilinganishwa na mwaka 2021/22.


Akizungumza Novemba 8, 2023 kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Bi. Amina Seif, Afisa Nyuki wa Halmashauri hiyo Bw. Gilbert Gotifrid alisema kuwa katika kipindi tajwa tani za asali zilizovunwa ziliongezeka kutoka 3.9 hadi 4.1.


Ongezeko hilo, alisema Bw. Gotifrid, limechagizwa na kuongezeka kwa mwamko wa wananchi katika shughuli za ufugaji wa nyuki.


 “Mwamko umekuwa ukiongezeka siku hadi siku ingawa bado si wakuridhisha sana ikilinganishwa na ukubwa wa maeneo ya ufugaji tuliyonayo,” alisisitiza.


Bw. Gotifrid alisema mwaka 2022/23 wafugaji nyuki ambao ni watu binafsi na taasisi waliongezeka kufikia 84 ikilinganishwa na 42 za mwaka wa nyuma yake.


Kwa upande mwingine, vikundi vilivyokuwa vinajihusisha na ufugaji wa nyuki viliongezeka kutoka 32 hadi kufikia 40.


Bw. Gotifrid alisema bado fursa za ufugaji nyuki hazijatumiwa ipasavyo.



“Kati ya hekta 900 zilizopo katika milima ya Lipembe ambazo zimetengwa kwaajili ya shughuli za ufugaji wa nyuki, ni kama asilimia 1.1 tuu zinatumika kwa shughuli hiyo,” alisema.  


Bw. Gotifrid alieleza kwamba ili kutumia vizuri fursa zilizopo kitengo chake kimekuwa kikitoa elimu kuhusu ufugaji wa nyuki kupitia vipeperushi pamoja na redio zilizopo katika Halmashauri.


Kwanini asali ni muhimu?

 Bw. Gotifrid alisema kuwa asali inawasaidia wafugaji wa nyuki kujipatia pesa na kuongeza kipato Chao.


Upande wa afya, alisema, asali inafanya uwiano mzuri wa sukari mwilini pia inawasaidia watu wenye vidonda vya tumbo.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJIBU YA USAILI WA UDEREVA MAFUNZO KWA VITENDO June 20, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • VIKUDI 36 VYA TEMBELEWA KAGULIWA MIKOPO ASILIMIA10 HALMASHAURI YA MJI WA MBINGA

    July 14, 2025
  • Wajasiriamali Mbinga Mji washiriki Maonesho ya Sabasaba

    July 08, 2025
  • Mazoezi ya Viungo Mbinga Tc

    July 08, 2025
  • Kheri ya Sikukuu ya Sabasaba

    July 07, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.