• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

Wananchi kata ya Lusonga Halmashauri ya Mji wa Mbinga watakiwa kuendelea kushiriki Ujenzi Shule ya Sekondari Lusonga

Tarehe ya kuwekwa: September 7th, 2022

Akijibu masawali ya papo kwa papo yaliyoulizwa na Diwani wa kata ya Lusonga kuhusu ujenzi wa Shule ya Sekondari katika kata hiyo, Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Bi Grace Quintine amesema pamoja na hatu iliyofikiwa katika utekelezaji wa mradi huo, bado Mkurugenzi watakaa na wataalamu kuona wapi watapatafedha ya kumalizia mradi huo. Hata hivyo Ofisi ya  Rais Tamisemi imezielekeza Halmashauri zitakazoshindwa kumaliza kutekeleza mimradi hiyo ione namna ya kutumia mapato ya ndani ili kukamilisha miradi hiyo.  Mradi huo unaotekelezwa kupitia Sequip amabapo mapaka sasa mradi huo umeghalimu kiasi cha shilingi milioni 470 sawa na  asilimia 65 kwa majengo yote, ambapo majengo mawili ya ICT na Maktaba bado hayakamilika.

Kwa muujibu wa Serikali ifikapo Januari 2023 wanafunzi wanatakiwa kupokelewa katika shule hiyo na kwamba katika utekelezaji wa mradi huo BOQ ya maradi huo itaghalimu kiasi cha shilingi milioni 600 na fedha kutoka Serikali kuu ni kiasi cha milioni 470, Hivyo Mkurugenzi huyo amaeendelea kumuuomba Mhe Diwani Magreth Ngongi  Kuridhia kukaa na uongozi wa kata ya Lusonga na wakishirikiana  na wananchi katika kuchangia ili kumalizsa mradi huo kwa wakati. Mpaka sasa wananchi wa kata hiyo  wameshiriki kwa kuchangia na kujitolea kwa kiasi cha shilingi milioni 2 na laki nane hivyo kufanya kiasi kilichotumika  kufikia shilingi millioni  472 na laki nane na Michango bado uinaendelea katika kata hiyo.       

Na Makanguri    

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJIBU YA USAILI WA UDEREVA MAFUNZO KWA VITENDO June 20, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • VIKUDI 36 VYA TEMBELEWA KAGULIWA MIKOPO ASILIMIA10 HALMASHAURI YA MJI WA MBINGA

    July 14, 2025
  • Wajasiriamali Mbinga Mji washiriki Maonesho ya Sabasaba

    July 08, 2025
  • Mazoezi ya Viungo Mbinga Tc

    July 08, 2025
  • Kheri ya Sikukuu ya Sabasaba

    July 07, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.