English
  • English
  • Kiswahili
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

WANANCHI WAKOSHWA NA UTEKELEZWAJI WA ILANI

Tarehe ya kuwekwa: August 7th, 2024


Na Alex Nelson Malanga


Afisa Habari---Mji Mbinga

 

Mbinga. Wananchi wa Wilaya ya Mbinga wameipongeza serikali kwa utendaji kazi mzuri katika kila sekta chini ya usimamizi wa Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Kisare Matiku Makori.


Hayo yalisemwa jana (Agosti 6) na Mwenyekiti wa CCM-Mkoa wa Ruvuma Bw. Oddo Mwisho wakati wa kikao cha kamati ya siasa ya Mkoa na wataalamu wa Halmashauri za Mji wa Mbinga na Wilaya ya Mbinga pamoja na wakuu wa taasisi zilizopo wilayani humo.

 

"Wananchi wanapopata imani toka kwa viongozi wao wa serikali itasaidia chama kuweza kupata ridhaa kwa wananchi wakati wa uchaguzi," alisema Bw. Mwisho.


“Kila kona ya Wilaya ya Mbinga, wananchi wanampongeza Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapelekea fedha kwaajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika sekta mbalimbali.”


Lengo la ziara ya kamati ya siasa kwenye kata zote za Wilaya ya Mbinga ni kufuatilia utekelezaji wa ilani ya chama cha Mapinduzi na kusikiliza kero za wananchi ili zipatiwe majibu.

                                       

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJIBU YA USAILI WA UDEREVA MAFUNZO KWA VITENDO June 20, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MBINGA MJI APATIWA TUZO

    June 20, 2025
  • MKUTANO WA JUKWAA LA MWAKA LA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WILAYA YA MBINGA

    June 20, 2025
  • ‎MBINGA MJI YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 19, 2025
  • ‎JAMII YAHIMIZWA KULINDA HAKI ZA WATOTO

    June 16, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.