Ujenzi wa Jengo la Ofisi za Halmashauri ya Mji wa Mbinga unafanywa na Mkandarasi JESHI LA KUJENGA TAIFA IDARA YA UJENZI S.L.P 215 MTWARA, na Mkandarasi Msimamizi ni BUREAU FOR INDUSTRIAL COOPERATION S.L.P 35131 DSM. Mradi unatarajiwa kukamilika ndani ya Kipindi cha Miezi 12 na Utagharimu Kiasi cha Tshs 2,983,122,246.00/=
MBINGA
Sanduku la Barua: P.O.BOX 135
Simu ya Mezani: +225 - 2640664
Mobile: +225 – 2640664
Barua pepe: td@mbingatc.go.tz
Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.