Katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga Viko vivutio mbali mbali vinavyo weza kutangazwa kama fursa za kitalii , Vivutio hivyo ni pamoja na Uwepo wa Lugari Zoo, Chanzo cha Umeme kilichopo Tulila, Misitu ya asili kama vile Lipembe na Mito mbalimbali kama vile Mto Ruvuma. Pamoja na vivutio hivyo Halmashauri bado inamaeneo mengine yanayo weza kuwekezwa kama vivutio vya kiutalii kama vile Ujenzi wa Hoteli kubwa na Uwekezaji katika Bustani za maua.
MBINGA
Sanduku la Barua: P.O.BOX 135
Simu ya Mezani: +225 - 2640664
Mobile: +225 – 2640664
Barua pepe: td@mbingatc.go.tz
Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.