Viwanda
Halmashauri ya Mji wa mbinga imetenga maeneo mahususi kwa kwa ajili ya Viwanda vidogo na Vikubwa yenye ukubwa wa hekta 36 yaliyopo katika Kata za Utiri. Viwanda vinavyo weza kukidhi mahitaji ya wanambinga ni pamoja na Viwanda vya kusaga na kusindika nafaka, Viwanda vya Sukari, Viwanda vya uzalishaji wa Maziwa, Viwanda vya uzalishaji Mbao na Karatasi, Viwanda vya kutengeneza Pembejeo za Kilimo, Viwanda vya kusindika Kahawa, Korosho na Tangawizi.
Halmashauri imeainisha fursa ya viwanda vilivyoorodheshwa hapo juu kutokana na uwepo wa malighafi na mazingira mbalimbali yanayo vutia uwekezaji kama vile Uwepo wa Maji ya kutosha, Umeme na uwepo wa mahitaji makubwa ya bidhaa zinazoweza kuzalishwa na viwanda hivyo.
MBINGA
Sanduku la Barua: P.O.BOX 135
Simu ya Mezani: +225 - 2640664
Mobile: +225 – 2640664
Barua pepe: td@mbingatc.go.tz
Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.