English
  • English
  • Kiswahili
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

Afisa tarafa Mbinga Mji akabidhi msaada kituo Cha watoto yatima

Tarehe ya kuwekwa: December 31st, 2024

Mbinga. Afisa Tarafa wa Halmashauri ya Mbinga Mji Bi. Apsa Ally Rashid amekabidhi msaada wa vyakula, vinywaji na vifaa mbalimbali  katika kituo cha watoto yatima cha mtakatifu Katharina kilichopo katika halmashauri hiyo akimwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe. Kisare Matiku Makori.


Msaada huo uliotolewa ni mchele, unga wa ngano, sabuni, sukari, juisi na mbuzi kwaajili ya nyama katika kusherekea sikukuu ya mwaka mpya.


Nae msimamizi wa kituo hicho Sister(SR) Julietha Kitarika ameshukuru kwa msaada uliotolewa kituoni hapo kwaajili ya kusherekea sikukuu ya mwaka mpya.


Amebainisha kuwa  kituo hicho kina watoto 43 ambapo  watoto wa kiume ni 19 na wakike 25.


Hatua ya kutembelea kituo hicho ni kutekeleza agizo la Mhe. Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kutoa zawadi kwa makundi maalum katika kipindi hiki cha sikukuu za krismas na mwaka mpya.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MBINGA MJI APATIWA TUZO

    June 20, 2025
  • MKUTANO WA JUKWAA LA MWAKA LA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WILAYA YA MBINGA

    June 20, 2025
  • ‎MBINGA MJI YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 19, 2025
  • ‎JAMII YAHIMIZWA KULINDA HAKI ZA WATOTO

    June 16, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.