• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Government Web Framework

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

BODI YA NYAMA YATOA ELIMU YA UNENEPESHAJI WA MIFUGO

Tarehe ya kuwekwa: October 6th, 2023


Na Erasto George


Mbinga. Maafisa wa Bodi ya nyama kutoka  kanda ya nyanda za juu  kusini wametoa elimu kwa wafugaji wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga juu ya unenepeshaji wa mifugo hususani ng’ombe na nguruwe.


Elimu hiyo ilitolewa katika semina iliyofanyika Septemba 30, 2023 katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga.


Afisa wa bodi ya nyama Kanda ya Nyanda za Juu  Kusini Bw. Nelson William alisema  unenepeshaji wa mifugo ni kitendo cha kumuweka mnyama katika mazingira mazuri kwa muda wa miezi 3 na kumpatia chakula bora.


Bw. William alieleza sababu za kufanya unenepeshaji wa mifugo ikiwemo kupata nyama bora na salama na kupata soko la ndani na nje ya nchi kwa urahisi.


Aliwataka wafugaji kujisajili katika bodi ya nyama ili waweze kupatiwa elimu ya unenepeshaji wa mifugo yao pia kutafutiwa masoko ya ndani na nje ya nchi.


 “Wafugaji wa Halmashauri ya mji wa Mbinga  kateni bima za mifugo ili ziwasaidie pale mifugo yenu inaposhambuliwa na magonjwa au majanga ya kuungua moto,” alisisitiza Bw. William.



Afisa mwingine wa bodi ya nyama Kanda ya Nyanda za Juu  Kusini Bi. Asifiwe Mjujulu alisema lengo kubwa la bodi hiyo ni kutambua shughuli za wadau na kuwawezesha kushiriki katika kuendeleza tasnia ya nyama kuanzia uzalishaji, usindikaji na biashara ya mifugo.


Bi. Asifiwe alieleza kuwa bodi ya nyama Tanzania ni chombo kilichoanzishwa na sheria ya nyama na 10 ya mwaka 2006 chini ya kifungu na 9[1].

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kambi ya madaktari Bingwa wa Dkt Samia Suluhu Hassan yaendelea kutoa Huduma Halmashauri ya Mji Mbinga

    September 24, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS,DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki