• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Government Web Framework

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

BRIGEDIA IBUGE ;SINA MASHAKA NA UTENDAJI HALMASHAURI YA MJI WA MBINGA

Tarehe ya kuwekwa: June 18th, 2021

“Ivume Ruvuma ivume, Ivume kwa maendeleo”  Ni salamu ya Bgd Ibuge Mkuu wa Mkoa  kwa wanaruvuma, akizungumza katika kikao cha repoti ya CAG katika Halmashauri ya mji wa Mbinga, Mkuu huyo wa Mkoa amesema mapokezi ya awali ndio  tafsili halisi ya ufanisi katika utendaji kazi katika Halmashauri yetu hivyo  kuweza kukimbia  kwa pamoja. Aidha ameongeza kuwa haliyo imefanya kuipa zaidi ya asilimia sabini na tano  Halmashauri ya mji wa mbinga na kutokuwa na mashaka katika utendaji.

Kwa  upande mwingine Mkuu huyo wa Mkoa amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo  Bi Grace Quintine pamoja na baraza la madiwani kwa kupata hati safi  ya Ukaguzi wa hesabu za serikali  zaidi ya mara tatu mfululizo na kwamba  wakuu wa idara kuleta majibu ya hoja za mkaguzi kwa  wakati ili baraza hilo kuhakikisha wanafunga hoja hizo ifikapo septemba 30.Ataivyo amemtaka Mkurugenzi kushiriki vikao vya mkaguzi wa ndani

Mkuu huyo wa Mkoa amesistiza kwa Halmashauri kutokuwa na matumizi ya fedha mbichi akimaanisha fedha ambayo haija ingia katika mifumo,kuandaliwa kwa taarifa ya mwisho wa mwaka kitaalamu,kuboresha usimamizi wa bima ya afya ilioboreshwa, sambamba na ujenzi wa maduka ya dawa katika hospitali zetu.Pia amewakata madiwani kuwashauri wanavikudi kuto gawana fedha zitokanazo na mikopo wanayo pewa na kwa namna moja au nyingine ameshauri kupewa vifaa vya uzalishaji mali kwa wanavikundi ili mikopo hiyo iwenye tija katika jamii

Katika kilimo, Brigedia Ibuge amesistiza kwamba Maeneo ya kulima yapo ya kutosha hivyo ipohaja ya kutenga maeneo kwa ajili ya kilimo cha mazao ya biashara hususani  zao la Alizeti. Ikumbukwe ivikaribuni kumekuwa na tatizo la uhaba wa mafuta, hivyo serikali inaweka mkazo katika kilimo cha alizeti ili kukabiliana na uhaba wa mafuta nchini       

Akitoa neno la shukrani kwa Mkuu wa mkoa kwa niaba ya madiwani Mh Laxford Ndimbo amabae ni diwani wa Luwaita amemwakikishia mkuu wa mkoa watampa ushirikiano katika utendaji kazi na kuhaidi kurudi kwa madiwani hao katika baraza hilo  ifikapo 2025.  

Na Makangury                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                  

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kambi ya madaktari Bingwa wa Dkt Samia Suluhu Hassan yaendelea kutoa Huduma Halmashauri ya Mji Mbinga

    September 24, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS,DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki