• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

CHF MBINGA MJI KUWAFIKIA NA KUGAWA KADI YA BIMA YA AFYA ZAIDI YA KAYA 2443 KWA WANUFAIKA WA MFUKO HUO

Tarehe ya kuwekwa: March 16th, 2021

Halimashauri ya mji wa mbinga mkoani Ruvuma, ni miongoni mwa alimashauri ambazo zinatekeleza na kusimamia mfuko wa afya  ya jamii CHF ambapo mpaka sasa mfuko huo tayari umesajili takribani  zaidi ya wanachama  14,658  wakiwemo wanufaika wa  taasisi mbalimbli kama TASAF,PAD, na Shule za msingi na Sekondari pamoja na Vyuo.

Ndgu; Joseph P. Mapunda ndio mratibu  wa utekelezaji wa mfuko huo, anaeleza mwenendo wa utekelezaji  wa mfuko huo katika almashauri hiyo.``Tarehe 16/04/2018 tulipokea  walaka wa maboresho ya mfuko wa afya  ya jamii ikiwa na lengo la kuleta tija na ufanisi katika uratibu  wa utoaji huduma  ya mfuko wa afya ya jamii kufikia lengo la kitaifa, la kuakikisha  kwamba kila kaya iliopo katika jamii inajiunga nakuwa  mwanachama hai wa CHF iliyoboreshwa.”

Zaidi ameongeza, Halmashauri ya mji wa mbinga kupitia vikao rasmi kama CMT, CHMT, vikao vya kamati na Baraza  la madiwani ,WDC na VDC lakini pia kupitia mikutano mbalimbali ya vijiji na mitaa, CHF limekuwa ni agenda ya  kudumu  kupitia vikao hivyo vyote.

Uboreshwaji huo umefanywa  kwanamna yakipekee  ambapo awali  mwanachana alikuwa anapata matibabu  kwa gharamaya shilingi 10,000.Gharama hizo zilikuwa hazihusishi kulazwa kwa mgonjwa na shilling 20,000 nimalipo  yasiona masharti ya kulazwa ispokua utatibiwa katka kituo husika cha afya. Kwa sasa utaratibu umeboreshwa, na  kwa kiasi cha shilingi 30,000 unapata matibabu  katika hospitali na kituo chochote cha afya katika mkoa wa Ruvuma.

Mwanachama wa bima  ya CHF anatakiwa kua na wategemezi wasiozidi 5, hii inafaya jumla ya wanufaika kuwa watu sita kama ni kikundi au taasisi inayo jiunga na mfuko huo, kama ni familia ambayo ukamilisha kaya moja, Baba, Mama na watoto wanne .

Halmashauri ya mji wa mbinga ina kata kumi na tisa(19) Vijiji 49 na mitaa 29 na utekelezaji wa shughuli hii unafanyika katika maeneo yote . Vilevile halmashauri ya mji wa mbinga imefanikiwa  kusajili kaya 2448 kati ya kaya 33,256 ikiwa nisawa na asilimia 8.7 ya kaya zote. Pia imefanikiwa, kuwajengea uwezo maafisa uandikishaji 156 katika vijiji na mitaa 78 pamoja na waganga wa vituo23.

Halmashauri ya mbinga mji kupitia mratibu  wa TASAF  imeweza kusajili kaya 1689 na kuendelea kushirikiana nae katika kuhamsisha  jamii hususani kaya masikin kuweza kujiunga katika mfuko huo ili kuweza kuzisaidia kaya hizo kupata huduma ya afya kwa gharama nafuu. Pia tasisi kama PAD kupitia mratibu wao wameweza kusajili kaya 690  usajili bado unaendelea.

CHF Katika halmashauri ya mji wa  mbinga pia imejipambanua kuzifikia baadhi ya taasisi za elimu zikiwemo  shule za sekondari kama , Makita Sekondari,Agustivo high School, na Chuo cha Maendeleo Mbinga . Atahivyo Mratibu   wa CHF Joseph Mapunda Ametoa rai kwa tendaji  wa kata ,vijiji na mitaa  kuendelea kuwahamasisha wananchi kujiunga katika bima hiyo ya afya ya gharama nafuu, kwani ni mkombozi kwa familia na jamii  na  kusema  zoezi linaendelea watu wajitokeze kwa wingi .  

Na Makangury Christian

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.