• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Government Web Framework

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

DC MBINGA AFUNGUA ZAHANATI KATA YA KITANDA

Tarehe ya kuwekwa: January 27th, 2022

Dc Mbinga Mji afungua Zahanati kata ya kitanda, ampongeza Mkurugenzi na Wakuu wa idara kwa usimamizi mzuri 

Mkuu wa Wilaya Mhe ; Aziza Ally Mangosongo leo amefungua Zahanati ya Masimeli iliopo  kata ya kitanda katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga, akitoa hotubayake kwa wakazi  wa Masimeli  Mhe Aziza ameeleza namna ya serikali inavyo toa fedha kwa ajili ya miradi ya maendeleo na kuwahudumia wanachi kupitia miradi mbalimabali  katika Halmashauri hiyo .

Ataivyo Mkuu huyo wa Wilaya amempapongezi  Mkurungezi wa Halmashauri hiyo Bi; Grace Quintine  pamoja na wataalamu kwa kusimamia kikamilifu ujenzi huo , pamoja na wananchi kwa kujitolea  kushiriki kukamilisha ujezi wa zahanat hiyo ambapo leo  Mkuu huyo wa Wilaya ameifungua rasmi.                Kwa upande mwingine Mkuu huyo wa Wilaya ametoa rai kwa kwakazi wa Masmeli kuendelea kutoa ushirikiano kwa Mganga na watumishi wote watakao kuwa wakihudumu katika Zahanati  hiyo.

Kwaupande wake Mbunge wa jimbo la Mbinga Mjini Mhe.Jonas Mbunda amepongeza uongozi wa  Rais wa Jamuhmuri ya Muungano wa Tanzania Mhe;  Samia Suruhu Hassani ,kwa  uongozi Mzuri wa nchi yetu , Sambamba na Uongozi wa Wilaya, Mwenyekiti wa Halmshauri ,Mkurugenzi pamoja na Wakuu wa idara kwa usimamizi na ufuatiliaji wa utekelezaji wa Miradi  inayotekelezwa katika  ilani ya chama cha Mapimnduzi. Ataivyo Mhe; mbunda amewapongeza wanachi wa kata hiyo kwa kuendelea kuchangia maelendeleo katika kata yao nakuwaomba wasikate tamaa serikali iko pamoja nao.

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kambi ya madaktari Bingwa wa Dkt Samia Suluhu Hassan yaendelea kutoa Huduma Halmashauri ya Mji Mbinga

    September 24, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS,DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki