• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

ELIMU YA JINSIA KUPUNGUZA VITENDO VYA UKATILI.

Tarehe ya kuwekwa: October 17th, 2023



Na Elizabeth Newa,  Erasto George & Rahma Mwaka


Mbinga.  Mkuu wa idara ya Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Bi. Cecilia Mbata ameeleza kwamba wamekuwa wakitoa elimu katika shule za msingi, sekondari na vyuo ili kupunguza vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto katika Halmashauri hiyo.


Oktoba 17, 2023 Bi. Cecilia alisema wamekuwa wakiwafikia  wazazi, walezi na ndugu wa karibu wa familia kwa kuwa vitendo vya ukatili vinaanzia nyumbani.


Aliongeza kuwa elimu hiyo wamekuwa wakiitoa kwa kushirikiana na  idara ya Ustawi wa Jamii, Dawati la Jinsia (Polisi) na mashirika mbalimbali yanayopinga vitendo hivyo.


"Elimu hiyo inalenga kuvunja ukimya pindi vitendo vya ukatili vinapotokea, ili viweze kuripotiwa na hatua za kisheria zichukuliwe,"alisema Bi.Cecilia.


Mkuu wa kitengo cha huduma za Ustawi wa Jamii katika  Halmashauri ya Mji wa Mbinga Bw. Paul Mbawala alisema wamekuwa wakizitumia siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kutoa elimu katika jamii.


Alisema wamekuwa wakipita katika taasisi mbalimbali zikiwemo shule, magereza, hospitali na hata kumfikia  mtu mmoja mmoja ili kuwaelimisha kuhusu vitendo hivyo visivyofaa.


Alizitaja sababu za vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia katika jamii kuwa   ni uelewa mdogo kuhusu sheria na haki za binadamu, imani za kishirikina, ulevi, umasikini kwa wanawake na  jamii kukosa elimu ya usawa wa kijinsia.


"Wananchi wajitahidi  kuripoti matukio ya ukatili yanapotokea katika jamii ili kusaidia kukomesha vitendo hivyo," alisema Bw. Mbawala.


Mkazi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mzee Kaka Yao alisema kinapotokea kitendo cha kikatili dhidi ya mtu yeyote katika eneo analoishi ataripoti  katika vyombo vya habari na usalama ili muathirika asaidiwe.


Mkazi mwingine wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Martin Komba alisema  akiona mtu anafanyiwa ukatili ataripoti  kwa kiongozi wa serikali wa eneo husika au  kituo cha polisi ili hatua stahiki zichukuliwe.

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.