• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

GEUZA WAIBUKA KIDEDEA TAMASHA LA WAMATENGO

Tarehe ya kuwekwa: November 1st, 2023

Na Erasto George, Rahma Mwaka & Elizabeth Newa


Mbinga.  Kikundi cha ngoma za asili (Mganda) cha Geuza kutoka kijiji cha Agati kilichopo Halmashauri ya Mji wa Mbinga kimeibuka mshindi wa kwanza katika mashindano ya ngoma za asili yaliyofanyika katika tamasha la wamatengo.


Kikundi hicho kilitumbuiza katika tamasha hilo  lililofanyika Jumatatu ya Oktoba 30, 2023 katika kijiji cha Mtama, kata ya Utiri ambapo waliweza kujikusanyia alama 91.7 kutoka kwa jopo la majaji wanne na kujinyakulia kitita cha shilingi 100,000.


Kikundi cha mganda kutoka kijiji cha Litumbandyosi walishika nafasi ya pili wakiwa na alama 84 na kujichukulia shilingi 70,000 huku washindi wa tatu wakiwa ni Mhambo kutoka kata ya Nyoni waliopata alama 81 na kuondoka na shilingi 50,000.


Washindi wa kwanza na wa pili walioonekana kuwa nadhifu kutokana na mavazi safi (kaptula nyeupe, mashati meupe, mikanda myeusi, viatu vyeusi na soksi nyeupe) waliyokuwa wamevaa.


Kwa hakika walikuwa nadhifu, hakika walicheza kwa madoido, kwa hakika walistahili ushindi.

Katika mashindano hayo majaji walitumia vigezo vitano kuwachagua washindi.


 Vigezo vilivyozingatiwa na alama kwenye mabano ni wimbo kulingana na tukio (25%), madoido katika uchezaji (25%), matumizi ya muda (20%), matumizi ya zana (20%) na unadhifu wa mavazi (10%).  


Washiriki wengine wa mashindano hayo ni Mganda kutoka Kijiji cha Mtama na Lipumba na ngoma ya kioda kutoka Kata ya Masumuni, na Namswea ambavyo vilizawadiwa shilingi 20,000 kwa kila kikundi.


Mbali na zawadi hizo mbunge wa Mbinga Mjini Mhe. Jonas Mbunda, na Mhe. Benaya Kapinga wa Mbinga Vijijini walitoa shilingi 30,000 kwa kila kikundi cha ngoma kilichoshiriki  katika tamasha hilo.


Pesa hizo ziliwasilishwa kwa niaba, na aliyekuwa mgeni rasmi katika tamasha hilo Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Damas Ndumbaro.

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.