• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Government Web Framework

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

HALMASHAURI YA MJI MBINGA KUTOA SHILINGI MILIONI 26 KUKAMILISHA UJENZI WA SHULE YA LUSEWA

Tarehe ya kuwekwa: October 6th, 2023



Na Elizabeth Newa, Erasto George & Rahma Mwaka


Mbinga.  Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mhe. Kelvin Mapunda amewaahidi wananchi wa mtaa wa Lusewa, kata ya Luhuwiko kupata Shilingi milioni 26 mwezi huu kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa shule.


Mhe. Mapunda alitoa ahadi hiyo Oktoba 1, 2023  wakati wa maadhimisho ya siku ya wazee duniani yaliyofanyika katika viwanja vya ofisi ya Kata ya Luhuwiko.


Ahadi hiyo ni ishara ya kuunga mkono jitihada za wananchi wa mtaa wa Lusewa za ujenzi wa shule kwa nguvu zao wenyewe kwa kushirikiana na Diwani wao Mhe. David Mapunda.  


"Kwa kutambua jitihada zenu na kuunga mkono jitihada za serikali ninatamka hapa mtapata Shilingi milioni 26 mwezi huu na hakikisheni mnaitumia vizuri fedha hiyo kukamilisha ujenzi ili Januari 2024 watoto waanze masomo." alisema Mhe. Mapunda


Aidha, Mhe. Mapunda aliishukuru serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwaletea miradi mingi katika Wilaya ya Mbinga.


"Tunaishukuru serikali kwa kutupatia vituo vya afya, madarasa ya shule za msingi na sekondari, umeme pamoja na maji." alisema Mhe. Mapunda

Alimshukuru Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Laban Thomas kwa kusimamia Mkoa wa Ruvuma na kuhakikisha shughuli zote za maendeleo zinafanyika kwa wakati na ufanisi mkubwa.


"Ninamshukuru  Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe. Aziza Mangosongo kwa kuwa mstari wa mbele katika kutoa maelekezo na ushauri ili kuhakikisha miradi yote inakamilika kwa wakati," alisema Mhe. Mapunda.

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kambi ya madaktari Bingwa wa Dkt Samia Suluhu Hassan yaendelea kutoa Huduma Halmashauri ya Mji Mbinga

    September 24, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • KISHINDO CHA MHE.RAIS,DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MBINGA MJI KATIKA MIRADI YA ELIMU

    August 29, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki